Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona mkuu Ntuzu umejenga kambi anifield..karibu sana.. L0eo saa saba kasoro usiku tutafutane nikukumbushe kya mpira sio hali ya hewa kwamba unaweza kuutabiri.

Asante an mkuu Jaslaws umepotea an mkuu!!!!!

Mi nipo ktk Nyumba yenu mpk tarehe 8 baada ya game yetu...!
 
Last edited by a moderator:
nackia harufu ya idadi y magoli ya basket ........poor looser fools

Grand PA
 
Hapo hakuna news. Bado nahitaji unitafutue transfer fees na players salaries za 80's.

By the way, usitake kuleta ubishi usio na tija.... Dortmund na Arsenal zinafanya vizuri?
 
By the way, usitake kuleta ubishi usio na tija.... Dortmund na Arsenal zinafanya vizuri?
Zilinganishe na Liver na sio timu nyingine kwa miaka mitano iliyopita, kushiriki tu UEFA kwa timu ni moja ya mafanikio, Niambie hii Liver kwa miaka mitano iliyopita imeshiriki mara ngapi af Linganisha na hizo timu. Soma vizuri post yako ya kwanza ulisema wakina Henry ni wabahili hawajafanya investment ya kutosha (Labda sijakuelewa investment gani unazozizungumzia wewe ambazo hawajafanya), By the way kama umeona naleta ubishi, basi nimeacha huo ubishi nipe sasa hilo darasa ulilotaka kunipa.
 
Huyo rafa benitez ni bingwa wa kuuza na kununua wachezaji!
 
Na Mimi niko tayari kwa sherehe ya magoli....!

Uko pouwa Lkn mkuu?

Ha ha ha ha ha Ntunzu nipo, Nataka nishinde kesho mseme nimebahatisha!!!Moja linatosha......Its a tough game dah
 
Hapo hakuna news. Bado nahitaji unitafutue transfer fees na players salaries za 80's.

By the way, usitake kuleta ubishi usio na tija.... Dortmund na Arsenal zinafanya vizuri?

mh.... we mbishi

kwikwikwi
 
Ha ha ha ha ha Ntunzu nipo, Nataka nishinde kesho mseme nimebahatisha!!!Moja linatosha......Its a tough game dah

Yah it is very tough game my friend.....! Na huyu Mzee Ancelotti hataki Mchezo kabisa....!

Ila mkuu msimu huu mko vibaya aisee...! Nawapa pole ndugu zangu, maana Hali inakatisha tamaa...

Ngoja tuone mkuu Leo mtatoka vipi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…