Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain nasikia hata yule Stewart Downing alikuwa ni Mhamasishaji halafu alikuwa ni Mathematician ni kweli hii ?
 
Huyu Fabio Carvalho atapata nafasi kweli huyu ?Au atakuwa anacheza kwenye mashindano mengine? Carabao, FA ?
 
Jordan Brian Henderson good seasons zilikuwa ni 2014/15 na 2019/20

He had a decent outing in 2013/14, but his 2018/19 season was better than 2013/14

interms of individual growth as a footballer, 2014/15 was his best ever season at LFC.
Mkuu hivi ni mimi tu ndio naona kuwa RICE na HENDO ni kama mtu mmoja??
 
Huyu Nunez hata msemaje, hamna kitu hapo, saiv magoli mengi yanafungwa na midfielder's yeye ni kubutua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja tuone
Unaweza kuwa muujiza dogo akatua kwetu.

Aisee kweli tuuite muujiza. Japo kuwa na Salah & Mbappe in one team sio rahisi tena under FSG.

Mbappe jana amesema hana decision ataenda wapi na wameshakubaliana na CEO wa klabu bwana Nasser Al Khelaifi mambo yao. Sasa tusubiri mwisho wa msimu huu atakuwa huru, je watakubali aondoke mchezaji huru? Je ataongeza mkataba PSG? Je, atauzwa january hii?

Tusubiri muujiza wa Mbappe kutua AXA.
 
Sikutegemea kama comment yangu itazalisha jibu la dharau kiasi kile.

Kwa comment zenu nyote mlikuwa kwenye utani. Ila sasa kamusi zenu edition tofauti. Moja kabla ya uhuru na nyingine baada ya uhuru ndio maana mmepishana.

Ila its all right Miss Liverpoolfc. Jamaa hana hizo
 
Huyu Fabio Carvalho atapata nafasi kweli huyu ?Au atakuwa anacheza kwenye mashindano mengine? Carabao, FA ?

Huyu wanamtafutia timu nyingine kwa mkopo ambapo atacheza na kupata game time ya kutosha. Ndio raha ya soka la ulaya timu ikikuhitaji inakuhudumia.

Kule hakupata kabisa game time ya kutosha, kwa kuwa Klopp anasema anamuhitaji klabu imemrudisha kumtafutai changamoto nyingine, ili kukuza ubora wake.
Southampton wanamtaka.
 
Kwa comment zenu nyote mlikuwa kwenye utani. Ila sasa kamusi zenu edition tofauti. Moja kabla ya uhuru na nyingine baada ya uhuru ndio maana mmepishana.

Ila its all right Miss Liverpoolfc. Jamaa hana hizo
Ndio maana nimeapologize na kuweka mambo sawa..kwangu mimi nimeichukulia kama dharau.Heshima ni kitu cha bure.
Wadau ni wengi jukwaani wa kuwaquote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…