Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee kweli tuuite muujiza. Japo kuwa na Salah & Mbappe in one team sio rahisi tena under FSG.

Mbappe jana amesema hana decision ataenda wapi na wameshakubaliana na CEO wa klabu bwana Nasser Al Khelaifi mambo yao. Sasa tusubiri mwisho wa msimu huu atakuwa huru, je watakubali aondoke mchezaji huru? Je ataongeza mkataba PSG? Je, atauzwa january hii?

Tusubiri muujiza wa Mbappe kutua AXA.
Navuta tu picha mara dogo huyoo akaja
Aiseee sipati picha 🤣🤣🤣
 
Screenshot_20240103_155055_org.telegram.messenger~2.jpg

Anasema Nunez toshaaa mie nani wa kusema Hapanaaaaaaaa.
Alisema Liverpool bingwa na tukawa bingwa
Amesema Nunez anatosha
Viva Klopp
Viva Nunez..

YNWA
 
Huyu Nunez hata msemaje, hamna kitu hapo, saiv magoli mengi yanafungwa na midfielder's yeye ni kubutua tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna kitu nimeona kwake atakuja kukuprove wrong amini nakwambia.

Kama uliwahi kuangalia mpira mapema kidogo basi mkumbuke Diego Forlan pale Manchester United alikuwa ni mbovu zaidi ya Nunez akauzwa Atletico kilichofuata hata Liverpool hatumsahau achilia mbali Eto'o na Messi kwenye Ufungaji bora wa Laliga.
 
Huyo Nunez ajitahidi tu kubebeka kwenye mbeleko ya Klopp
Asije akaichana tu😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool mara pap ukageuka ukaanza kupenda wafunga nywele na wenye matatoo ukageuka ukawa miss Nunez🔥🤣🤣🤣🤣 ndani ya mwaka huu hili linakuja Hahaha nipo hapa nakuchora.

YNWA
 
Kuna kitu nimeona kwake atakuja kukuprove wrong amini nakwambia.

Kama uliwahi kuangalia mpira mapema kidogo basi mkumbuke Diego Forlan pale Manchester United alikuwa ni mbovu zaidi ya Nunez akauzwa Atletico kilichofuata hata Liverpool hatumsahau achilia mbali Eto'o na Messi kwenye Ufungaji bora wa Laliga.
Inaonakena hawa ma strika wa Uruguay hua hawa click haraka kama wengine ama namna gani namtazama Forlan na Surez haikua kufika na magoliiiii Hapana iliwachukua misimu kadhaa na mwingine mpaka kuuzwa huko AM.

YNWA
 
Back
Top Bottom