Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Navuta tu picha mara dogo huyoo akaja
Aiseee sipati picha 🀣🀣🀣
 
Huyu Nunez hata msemaje, hamna kitu hapo, saiv magoli mengi yanafungwa na midfielder's yeye ni kubutua tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna kitu nimeona kwake atakuja kukuprove wrong amini nakwambia.

Kama uliwahi kuangalia mpira mapema kidogo basi mkumbuke Diego Forlan pale Manchester United alikuwa ni mbovu zaidi ya Nunez akauzwa Atletico kilichofuata hata Liverpool hatumsahau achilia mbali Eto'o na Messi kwenye Ufungaji bora wa Laliga.
 
Huyo Nunez ajitahidi tu kubebeka kwenye mbeleko ya Klopp
Asije akaichana tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Miss Liverpool mara pap ukageuka ukaanza kupenda wafunga nywele na wenye matatoo ukageuka ukawa miss NunezπŸ”₯🀣🀣🀣🀣 ndani ya mwaka huu hili linakuja Hahaha nipo hapa nakuchora.

YNWA
 
Inaonakena hawa ma strika wa Uruguay hua hawa click haraka kama wengine ama namna gani namtazama Forlan na Surez haikua kufika na magoliiiii Hapana iliwachukua misimu kadhaa na mwingine mpaka kuuzwa huko AM.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…