Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu mzee kufuga deadwoods ndio kumemfanya 8 years 1pl title

Lakini pia simlaumu sana maana ni mfumo wa wamarekani, Nunez tunaye sana maana FSG hawawezi kupa 85m kisha misimu miwili ijayo wakupe tena hela kwa nafasi ile ile

Hilo hata Man United lipo, Anthony wanae sana

Chelsea walinunua lukaku 98m, msimu uliofuata wakatoa kwa mkopo

Wakavunja rekodi ya Kipa, baada ya msimu benchi


Sasa wamarekani wa Liverpool na Man United hawawezi hilo, watampetipeti mchezaji mpaka waone ameshindikana kabisa

Klopp alimpetipeti keita, united walimpetipeti Pogba ilivoshindikana kabisa ndio wakaachiwa

United walipiga kelele na Maguire ila bado yupo, wakati Chelsea koulibaly walimtoa mapema tuu

Kwa bei ya Nunez tutarajie Klopp ataendelea kumtetea kwa kila hali mpaka itakaposhindikana

Minamino, shakiri, solanke, hawa waliachiwa mapema tuu kutokana na bei alizowanunua
 
Kuna dogo mmoja anatumia mguu wa kushoto. Nafikiri mechi kadhaa alizopewa nafasi. Naam! Ni Billy Koumatio Ana mwili mkubwa hivi, ni black. Yuko wapi? Profile yake inasemaje?
 
THE NEED FOR MORE OPTIONS IN DEFENCE
With long-term injuries to the likes of Joel Matip, Andy Robertson and Kostas Tsimikas, many supporters have been urging Liverpool to make a move for a defender in the January transfer window.

With Joe Gomez currently deployed as a full-back, Jurgen Klopp is down to just three fit centre backs in Virgil Van Dijk, Ibou Konate and Jarrell Quansah.


Conveniently, a previous Liverpool target in Rennes defender Arthur Theate has been tipped to secure a move away from the French side either this month or in the summer.

AS Roma are reportedly the current favourites for the Belgium international defender, but if Liverpool show interest then they would undoubtedly move into the driving seat for the youngster.

Today we’re going to be looking at why Arthur Theate could be a potential solution to Liverpool’s defensive issues.

WHO IS ARTHUR THEATE?
Arthur Theate is a left-footed central defender, currently playing for Rennes in Ligue 1.

Since his £17million move from Bologna in 2022, the defender has become one of the hottest defensive prospects in European football.


Theate has made 62 appearances across all competitions for Rennes, whilst scoring six goals.

So far this season, Theate has made 20 appearances with 14 coming in Ligue 1 and six coming in Rennes’ Europa League campaign.

Theate’s impressive domestic form has also earned him some serious game time on the international stage.

He has represented Belgium on 14 occasions already, showcasing his world class potential regularly.

The 23-year-old only signed a contract extension in September 2023, but his impressive performances for the French side has enhanced interest from some of Europe’s top clubs.

His current contract is set to expire in June 2027, but a reported fee of around £25million would be enough to secure his services.

WHY WOULD LIVERPOOL WANT HIM?
First of all, the fact that Theate is a left-footed defender automatically makes him much more appreciated in terms of fitting a system.

A left-footed defender that can allow Trent Alexander-Arnold to push higher up has been on many supporters’ wish list for some time now.

Theate also has a lot of the raw materials that Jurgen Klopp looks for in his defenders, with bags of natural strength and pace.

His ability on the ball is quite amazing, averaging 6.28 progressive passes per 90 minutes.

In comparison, Virgil Van Dijk averages 4.45 progressive passes per 90 minutes, whilst Ibou Konate averages 4.78.

In terms of pass completion, Theate boasts a fantastic 90.1% pass completion rate.

In this department, Virgil Van Dijk just trumps the Belgian with a 91% pass rate. However, Konate has just a 88% pass completion rate.

Theate would be a perfect fit on the left-hand side of a back three, alongside Van Dijk and Konate.

However, one negative of Theate’s numbers is his pure defensive numbers, which suggest that he may not be suited to playing in a flat back four.

His pace and strength would allow him to play as a sweeper quite effectively, but perhaps not as a traditional centre-back like Van Dijk or Konate.

The reported price tag for the youngster also makes him a fairly favourable option, with £25million potentially being a bargain for a player with Theate’s potential.

Whether it’s Theate or another defender like Inacio, hopefully Liverpool make a move for a defender in the January transfer window.
 
Captain Marvelous The MoNA hii ni habari njema sana kwa Saint Anne 😂😂😂

✍🏿 Mkataba mpya kwa Mo Salah ✍🏿

◼ Liverpool wapo mbioni kumuongezea mkataba mpya Mohamed Salah 🇪🇬 ili kuendelea kusalia klabuni hapo, Umuhimu wa Mohamed Salah ndani ya kikosi cha Liverpool umekuwa mkubwa zaidi ya kupelekea Mwalimu Jurgen Klopp na wamiliki wa klabu FSG kukosa sababu za kumruhusu kuondoka kizembe

◼ Mkataba wa Sasa wa Mohamed Salah una tarajia kutamatika mwaka 2026 hivyo Liverpool wanataka kumuongezea mwaka mmoja mpaka 2027, Jurgen Klopp na FSG wana amini kwamba masuala ya pesa hayawezi kuwa kikwazo kwa mkataba huo bali kitu kikubwa na muhimu nokiangalia maslahi ya klabu na mchezaji pia

◼ Jurgen Klopp anatarajia kuongeza mkataba wake pia kwa miaka 2 zaidi mpaka kufikia mwaka 2029 mana mkataba wake wa sasa unaishia mwaka 2027, hii inaonekana kuwa moja ya chachu ya kumshawishi Mo kusalia Liverpool kwa kuwa wawili hawa wana mahisiano mazuri zaidi ndani ya klabu

◼ Liverpool hao hao wanasema wata hakikisha wana tafuta mbadala wa Mo wakati huu ambao bado yupo ndani ya klabu yao na hata ikifikia muda wa yeye kuondoka basi klabu Haiwezi kuwa na wakati mgumu zaidi

◼ Salah mwenyewe hana shaka na offer ya Liverpool mana anajiona bado ana mambo makubwa ya kufanya katika soka la Ulaya hivyo anazani hakuna ugumu upande Wake na klabu yake kwa yeye kusalia ilimradi tu pande mbili zikubaliane

( Anfield watch )
 
Dominik Szoboszlai anatazamiwa kukosa angalau mechi mbili zijazo za Liverpool, amethibitisha Jürgen Klopp. Kiungo huyo aliondolewa katika kipindi cha pili katika ushindi wa Siku ya Mwaka Mpya dhidi ya Newcastle United kwenye Uwanja wa Anfield kwa malalamiko ya msuli wa paja. Na Szoboszlai atakosekana katika mechi ya Jumapili hii ya Kombe la FA dhidi ya Arsenal na mechi ya nusu fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Fulham katikati ya wiki ijayo. "Naweza kuthibitisha sio jeraha linalowezekana - ni jeraha. Misuli, hamstring. Lakini sasa lazima tuone,” alisema Klopp katika mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya Arsenal. "Dom yuko chanya sana, hana maumivu mengi lakini inabidi tusubiri kidogo. Kwa hivyo, kwahiyo atakosekana Jumapili. sio Jumatano. Hapana. "Na kisha tutaona, baada ya hapo tunatumaini anaweza kurudi lakini hatujui."
 

Kuna timu ilikatisha deal la Taylor wa Leeds ambaye mpka medical check up arranged was arranged ili kumchukua bwana Cai na Levy, MF yao sasa 120 + 115 + 53 + 88.5 + academy ila wapo huko wanajikongoja…!!!

Klopp atapewa heshima yake aisee hata kama sio akiwa LFC,

N.B we need another 3-5 major triphies under him.
 
Hahaha leo Miss Liverpool ataota na HB wake haha kutoka kusema apigwe benchi na sasa huyoo anawania mchezaji bora wa deseba woow dogo amepambana sana... [emoji91]

YNWA

Naona tuzo atabeba Solonke. December aliwaka sana. Ila akibeba TAA sitashangaa ila kwa manager Klopp best save Beckor.

Saint Anne ehh hivi unajua huyu Solanke alishakipiga LFC? Tukamuuza kwa bei nzuri kiasi tukafumba mdomo, wakati hakuwa mzuri kwa level ya LFC 35m hivi kama sijakosea.

Aise we were having sporting director, genius in football call him Michael Edward. Huyu jamaa aliamua kuondoka kumpisha Klopp na maamuzi yake yaliyotukosti sana. Kung’ang’ania Henderson, Keita, Ox and Milner kula mikataba mipya.

Best of Luck to Dominic Solanke
 

Ukisikia kila jambo hutokea kwa sababu tunapaswa kuelewa. Bila horror za Karius labda leo hii tusingekua na beckor.

Lets say ile CL final angeperform vizuri kiwango cha fainali, hahah kwa uvumilivu wa Klopp tusingekuwa na beckor.

Karius yupo Newcastle huko anasugua bench
 
Lallana, Lovren, Henderson na Karius wamekula sana matusi kutoka kwangu dah

Ila Lovren alikuwa anatia hasira sana aisee

Ila Sakho alikuwa jembe langu kabisa nilikuwa namkubali sana

Lovren alisamehewa ile Robo final ya Dortmund akitupia goli la 4, ngoma ikaisha 4-3. Ila LFC na UEFA at Anfield huwa wanashangaza hapa hii mechi ilikuwa ni boys vs Men, na Boys wakashinda 4-3. Dortmund ilikuwa na ubora wa hali ya juu ukilinganisha na ile Liverpoolfc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…