Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
ile mechi aliyetuua ni kipa wa BlancosNi uzembe wao mastrika
Wapo pale ili wafunge na hawakufunga.
Mbona mwenzao benzema akatuweka goli
Mo Salah,mane wote wakatalii uwanjani tukatoka na sifuri.
Huyu Mona anataka kumsingizia Trentile mechi aliyetuua ni kipa wa Blancos
Akina Mane na Salah walifanya kila kitu na mechi tuliicontrol vya kutosha
Basi tu bahati alikosekana
sio kumsingizia Trent alituangusha pale dogo Vini hakuwa na mtu wa kumkabaHuyu Mona anataka kumsingizia Trent
Diaz ni mzuri. Ila Gakpo ana offer mambo mengi pia kama ku hold mpira na ku drive kwenda mbele. Naona kuna mtu amesema yupo slow lakini kila mchezaji ana umuhimu wake kwenye team.left winger tuna Diaz ni mzuri zaidi kuliko Gakpo
Aliuzwa kwa euro 19m
Huyu Mona anataka kumsingizia Trent
Diaz ni mzuri. Ila Gakpo ana offer mambo mengi pia kama ku hold mpira na ku drive kwenda mbele. Naona kuna mtu amesema yupo slow lakini kila mchezaji ana umuhimu wake kwenye team.
Kila mchezaji ana umuhimu wake kulingana na aina ya upinzani (defense).
Mfano Gakpo tukicheza na team inayopark bus ni mzuri zaidi kuliko hata Nunez maana anauwezo wa ku control na kutokupoteza mpira kirahisi na anaweza kupunguza watu kadhaa na ku open spaces kwa wenzake.
Gakpo ni mchezaji mzuri sana.
Ile mechi namlaumu Klopp hadi leo, huwezi cheza na Madrid fainali unacheza highline wakati unajua wana ma winga wenye kasi na midfielders wanajua kuhold mipira na wazuri wa kuanzisha counter attackHahah dah.!! Mahaba at the wheel.
Goli la Madrid unakumbuka lilivyopatikana lkn? Fainali ya 2022 tulifungwa 1-0 unamjua mfungaji?
Ile mechi namlaumu Klopp hadi leo, huwezi cheza na Madrid fainali unacheza highline wakati unajua wana ma winga wenye kasi na midfielders wanajua kuhold mipira na wazuri wa kuanzisha counter attack
Jichanganye sasaOyaaa leo kikosi chenu ovyoo nini mbona Mmpewa odd mlima???
Hahah dah.!! Mahaba at the wheel.
Goli la Madrid unakumbuka lilivyopatikana lkn? Fainali ya 2022 tulifungwa 1-0 unamjua mfungaji?
Hiyo ilikuwa nyingine 2018. Tulicheza tena final 2022.Si alituweka Ostaz Benzema ama nimechanganya mafile?
Mastrika wetu wazembe hawakufunga goli hata moja..Trent aachwe.
Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.🤣🤣🤣Hivi kuna mashabiki wa man u .Au chelsea wanaleta stunts humu kweli?
Si alituweka Ostaz Benzema ama nimechanganya mafile?
Mastrika wetu wazembe hawakufunga goli hata moja..Trent aachwe.
Nimeshakumbuka😂Yeah umechanganya ile ya 2018 (heheh Karius ndio alituchoma balaa hii final). Hapa nazungumzia ya 2022 tulifungwa 1 na Vini dk ya 60’ hivi.