Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

left winger tuna Diaz ni mzuri zaidi kuliko Gakpo
Diaz ni mzuri. Ila Gakpo ana offer mambo mengi pia kama ku hold mpira na ku drive kwenda mbele. Naona kuna mtu amesema yupo slow lakini kila mchezaji ana umuhimu wake kwenye team.

Kila mchezaji ana umuhimu wake kulingana na aina ya upinzani (defense).

Mfano Gakpo tukicheza na team inayopark bus ni mzuri zaidi kuliko hata Nunez maana anauwezo wa ku control na kutokupoteza mpira kirahisi na anaweza kupunguza watu kadhaa na ku open spaces kwa wenzake.

Gakpo ni mchezaji mzuri sana.
 
Huo uslow wake ndio ubora wake. Sema mpira kila mtu na angle yake na hii angle ndio inaleta huyu aonekane hivi na huyu hivi. Na ndio ladha yenyewe.

Last season watu walisema kwa sababu ya kuondoka amane tukaflop cha ajabu offensive players (front three) ni wale wale ila timu ime click. Ila kwa mwenye jicho alishaona tatizo sio kuondoka Mane ila ubovu wa MF’s.

YNWA
 
IMG_4471.jpg

Speculation after speculation
 
Hahah dah.!! Mahaba at the wheel.

Goli la Madrid unakumbuka lilivyopatikana lkn? Fainali ya 2022 tulifungwa 1-0 unamjua mfungaji?
Ile mechi namlaumu Klopp hadi leo, huwezi cheza na Madrid fainali unacheza highline wakati unajua wana ma winga wenye kasi na midfielders wanajua kuhold mipira na wazuri wa kuanzisha counter attack
 
Ile mechi namlaumu Klopp hadi leo, huwezi cheza na Madrid fainali unacheza highline wakati unajua wana ma winga wenye kasi na midfielders wanajua kuhold mipira na wazuri wa kuanzisha counter attack

Sifa ziende kwa Courtois aisee he did fabulous saves ambapo kama angeamka vibaya clean 4 goals zilikuwepo. Pamoja na highline they were toothless hawakutengeneza mashambulizi mengi ya hatari.

Mpaka TAA alipojisahau (his weakness actually) VIN akaibia kwenye line ikapigwa kwisha habari yetu
 
Oyaaa leo kikosi chenu ovyoo nini mbona Mmpewa odd mlima???
 
Si alituweka Ostaz Benzema ama nimechanganya mafile?

Mastrika wetu wazembe hawakufunga goli hata moja..Trent aachwe.
Hahah dah.!! Mahaba at the wheel.

Goli la Madrid unakumbuka lilivyopatikana lkn? Fainali ya 2022 tulifungwa 1-0 unamjua mfungaji?
 
Hivi kuna mashabiki wa man u .Au chelsea wanaleta stunts humu kweli?
Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.🤣🤣🤣
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau 😡😡😡😡
 
Si alituweka Ostaz Benzema ama nimechanganya mafile?

Mastrika wetu wazembe hawakufunga goli hata moja..Trent aachwe.

Yeah umechanganya ile ya 2018 (heheh Karius ndio alituchoma balaa hii final). Hapa nazungumzia ya 2022 tulifungwa 1 na Vini dk ya 60’ hivi.
 
Back
Top Bottom