Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
We takataka hivi una hakika hiyo yenu ni timu ya mpira kweli?Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.π€£π€£π€£
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau π‘π‘π‘π‘
Naona mwezi mchanga tayariSisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.π€£π€£π€£
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau π‘π‘π‘π‘
Nilishachanganya MkuuHiyo ilikuwa nyingine 2018. Tulicheza tena final 2022.
Bwege hiliView attachment 2864795
Kuna nini huko Saudia? Bobby nae hana furaha
Mda unaenda kasi sana. It still feels like a few months ago.
Hakuna machimbo ya kula kitimoto na beer ndio maana wanataka kuondoka.View attachment 2864795
Kuna nini huko Saudia? Bobby nae hana furaha
Kwa kikosi cha leo na jinsi tulivyocheza first half haya matokeo ni makubwa sana kwetu.
Vipi leo humpondi Nunez?Haya
Ooh Luis Mbovu,oh Luis mbovu
J kiwior mitano tena [emoji112]
Ni jembe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki mwenyewe kwiyo ππππHaya
Ooh Luis Mbovu,oh Luis mbovu
J kiwior mitano tena [emoji112]
Ni jembe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko na kwiyoVipi leo humpondi Nunez?
Beki mwenyewe kwiyo ππππ