Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
We takataka hivi una hakika hiyo yenu ni timu ya mpira kweli?Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.🤣🤣🤣
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau 😡😡😡😡
😂😂