Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.🤣🤣🤣
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau 😡😡😡😡
We takataka hivi una hakika hiyo yenu ni timu ya mpira kweli?
😂😂
 
Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.🤣🤣🤣
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau 😡😡😡😡
Naona mwezi mchanga tayari

Bado kuvua nguo tu hadharani
 
IMG-20240107-WA0019.jpg

Mkuu MosDef una taarifa zaidi kuhusu Kijana wa Kingoni ambaye yupo hapo Anfield?
 
Back
Top Bottom