Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo kati pale Jk afumbe macho awaweke wakina Nyoni wale watege shule Leo hakuna namna
 
Kinda Martin Odergard akiwa mazoezini Liverpool na maestro Steve Gerrard aka Captain Fantastic... Enzi hizooo alikua wa motooo alikua anatikwa na klabu nyingi sanaaa

Martin Odergard alikaribishwa Liverpool akiwa kinda kwa ajili ya kumsajili lakin aligoma baada ya Real Madrid kumshawishi zaidi kwa bahati mbaya hakupata nafasi kule na Arsenal wakamshawishi kujiunga nao mazima...

YNWA
 
Na akapoteana na kuwa mchezaji wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…