View attachment 2867034
Upande wa kulia tuna changamoto Trent majeruhi, Domy majeruhi, Mo Salah huyoo Afcon.... Klopp kazi kwake.
YNWA
Huyu mtoto naanza kumkubali
View attachment 2867035
Hawa wote [emoji115] [emoji115] [emoji115] kwa sasa hatunao kikosini...
Majeruhi hawa hapa
Matip
Domy
Thiago
Tsimikas
Trent
Robertson
Mashindano ya kimataifa
Salah
Endo.
January mechi ni nyingi sana tunahitaji bahati iwe upande wetu kuvuka salama bila kuongeza majeruhi wapya.
YNWA
Kaka yetu Mane ameopoa chombo masha'AllahAmemuoa Bi Aisha Tamba, ambaye ana asil nzuri ya kinyumbani Hamswa Swalawaty na anayeepukana sana na mtandao wa kijamii 😂👆🏿
View attachment 2866791
Wewe hawa ma HB mbona wakooo tuuuuu..... Leo natamani acheze RB ku kava kwa Anorld.
YNWA
Kwa kweli mimi mpira sijui ila huyu mtoto juzi nimemuangalia alikuwa ananifurahisha.Kama una jicho la kuona vipaji basi ni raha kumuangalia Quansah. Boy has art of defending
Angefilisiwa kama yule mchezaji wa Arsenal Emanuel Eboue na ukizingatia Mane shule kichwani hamna.Kaka yetu Mane ameopoa chombo masha'Allah
Wifi Mzuri sana,I'm happy for Mane kwa kweli.
Amekwepa mitego ya wazungu
Wazungu ni majasusi.
Wewe hawa ma HB mbona wakooo tuuuuu..... Leo natamani acheze RB ku kava kwa Anorld.
YNWA
Hivi kaka yangu Mane shule hajasomaga?Angefilisiwa kama yule mchezaji wa Arsenal Emanuel Eboue na ukizingatia Mane shule kichwani hamna.
Kwa kweli nenda tu maana kaanza kuka sawa majeruhi haya hapa yaaan ni shindaaa tupu....
YNWA
Leo kati pale Jk afumbe macho awaweke wakina Nyoni wale watege shule Leo hakuna namna
Kwa kweli mimi mpira sijui ila huyu mtoto juzi nimemuangalia alikuwa ananifurahisha.
usimsahau Benoit Assoue Ekotto wa Spurs yule Mcameroon alikuwa akirudia kusema kuwa katika vitu hakuwa akivipenda Ni mpira wa miguu, Yaani alijishangaa kwann alikuwa mcheza soka na muda wa kuwa nyumbani anasema Hana mudq wa kucheck mpira kwenye tv yeye ni basketball na vingineAisee mpira sio wa wote na inategemea na fate muda mwingine.
Kuna mchezaji alikipiga Spurs, QPR, Brighton, Fulham, Westham enzi hizo. Kwa walioingalia Fulham ya 2008-2011 hivi watamkumbuka jamaa, na Fulham ya Clint Demspey, Philip Sendaros, Muphy, Hangeland,Mousa Dembele, timu ya nguvu hii ukikutana nayo Craven Cortage unajiuliza mara mbili mbili.
Sasa Zamora na kiwango kile alishangaza watu kwa kusema hapendi kucheza mpira. Unajiuliza commitment ya mazoezi anaipata wapi?
Sasa tuje kwenye story moja hivi. Kuna jamaa anaitwa Jerome Sinclair. Huyu jamaa alikulia academy ya LFC aliichezea LFC not to senior level, but cups game na europe games japo not as a starter those days. Speaking of 2014 huko. He was playing as CF. Katolewa kwa mkopo weee akaamua kustaafu.
Sasa hivi ana Fried Chicken Shop huko Uingereza. Ukisikia “KAMA HAIPO NI HAIPO” ndio hivi visa viwili.
Bobby Zamora hakupenda kucheza mpira ila alipata kuucheza mpira. Jerome Sinclair aliupenda mpira lkn mpira haukumpenda.
Zamora kwa sasa ni 42’
Jerome ni 27’
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Aafu na kwenye comedian wa Uzi wetu upo ujueHivi hawa watoto huwa mnawaangalia saa ngapi?
Naona wenzetu juzi mnatoririka tu kuwachambua
Mara nyoni wa Songea
Mara sijui nani muethiopia
Bobby mbona unawajua mimi pekeyangu siwajui hata mmoja na umeniacha tu😁🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Aafu na kwenye comedian wa Uzi wetu upo ujue
YNWA
Kwahiyo mmegeuka watoto yatimaWanangu wa fulham watanilipizia kisasi
Hawawezi kuniangushaKwahiyo mmegeuka watoto yatima
Mnasubiri kulipiwa kisasi
Subirini uone tunavyowapasua hao tegemeo lenu Fulham
Dogo mitano tena kwakeMzuri.
Colwill wa Chelsea Last season alicheza Brighton kwa mkopo na kwa mafanikio makubwa sana kiasi cha kumshawishi Klopp kuhitaji huduma yake. Tumeenda London kubisha hodi tukaambiwa £80m, Klopp hakutaka hata maongezi mbio hakurudi. Tumetafuta beki wee bei zimechangamka na wengine hawajafikia level za atakazo Klopp. Huku na huku Jarell Quansah huyu hapa from Academy Klopp akaamua kumtumia hyo.
Imagine how many millions we have saved for not sign Colwill? Wote waingereza wote 20’s wote CB’s.
YNWA hii