Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Darwin Nunez akiwa na Liverpool katika mashindano yote msimu huu.

◉ 30 games
◉ 08 goals
◉ 10 assists
◉ 36 shots on goal
◉ 18 goal contributions

ℹ️ Darwin Nunez sasa ni mmoja kati ya wachezaji watatu pekee waliotoa assists 10 au zaidi kwa timu za Premier League katika mashindano yote msimu huu.

🅰️ 11 — Bukayo Saka
🅰️ 10 — Ward-Prowse
🅰️ 10 — Darwin Nunez
We never complained when Firmino was not scoring but was creating for Salah n Mane...
Soon utasikia Klopp akisema Nunez is the system, he is the engine of front line.. 🔥

YNWA
 
[emoji3482] Darwin Nunez sasa ni mmoja kati ya wachezaji watatu pekee waliotoa assists 10 au zaidi kwa timu za Premier League katika mashindano yote msimu huu.

[emoji2402] 11 — Bukayo Saka
[emoji2402] 10 — Ward-Prowse
[emoji2402] 10 — Darwin Nunez

Nunez abadili embu jina mgongoni aandike Nunez,
 
Hakupata test za kutosha kiasi cha kuwa considered. Hapa story ni Jones na Bradley. Kisha El pantera [emoji197] from bench akatufungulia codes za kuwafungua Fulham call him Nunez Darwin
Nasimama na Kelleher
Ngome imara
 
Naona Fulham wanekulipia kisasi arse 8

Nilikwambia hao wana hamu ya kupasuliwa fully
Hata watoto wa Academy tungewaacha wangewapasua tu
Jamani, mimi nimeleta tu habari njema ya Mane kuoa baada ya kukimbia stress za livakuku. Ukienda Livakuku nenda na mke wako kabisa maana ukishaanza kukimbizana na kina Nunez, muda wa kuoa utapata saa ngapi? Ndiyo tuliyoona kwa Mane
 
Naona Fulham wanekulipia kisasi arse 8

Nilikwambia hao wana hamu ya kupasuliwa fully
Hata watoto wa Academy tungewaacha wangewapasua tu
Mlibebwa nyie hamna lolote. Nyie ndiyo mbeleko fc wapya england baada ya mamacita, manyumbu, chelkenge na Tottenham
 
Mlibebwa nyie hamna lolote. Nyie ndiyo mbeleko fc wapya england baada ya mamacita, manyumbu, chelkenge na Tottenham
Mbona nyie hamjabebwa na hiyo mbeleko
Hata ushindi wa mchongo hamna

Eti mmeenda Dubai kupasha viungo..
Na bado,kipigo ni kilekile.
 
Kwa 21st Century kwa mfumo wa 4-4-2 hichi kikosi ni sawa kabisa.
Ila kwa mfumo wa 4-3-3 basi hapo kati ya Suarez au Torres lazima mmoja atoke ili kwenye Mido aingie mmoja kati ya Mascerano au Fabinho.

But kwa kikosi changu cha muda wote basi ni [emoji116][emoji116]

John Barnes - I. Rush - Salah

Alonso - Gerrard - Dalglish

Robbo - VVD - Ph. Thompson - TAA

Bruce Grobbelaar

Kocha: Bob Paisley​
Nadhan ungesema kikosi chako bora kwa era yako. Huwezi kumuweka mtu kama dahlish , Barnes na rush coz hujawaona wakicheza hawa zaidi ya viklip tu
 
IMG-20240112-WA0000.jpg

Huyu Michail anaongea kama nani yeye? 😂😂😂
 
Wanyonge ni manyumbu, nyie na chelkenge. Sisi tunawapa baraka zetu kwa ubingwa ila zile nafasi ni haki yetu
Kuna mdau alisema suala siyo kuamua kushinda au kutokushinda
Suala ni uwezo😝

Uliuliza kama mmmegoma kabisa kushinda.

Arterta labda mumpeleke mambo ya salooni kubond na kupaka akina Saka rangi.
Mpira hawezi.
 
Nadhan ungesema kikosi chako bora kwa era yako. Huwezi kumuweka mtu kama dahlish , Barnes na rush coz hujawaona wakicheza hawa zaidi ya viklip tu

Sijajua point yako ni ipi unapinga maoni yangu ama?

Unajua kwanini sijawaweka kina Roger Hunt?

Hao niliowaweka uliowataja wote nimeshawaangalia sana games zao kwa dakika 90 na sio Clips.
Kiufupi tumetofautiana ufuatiliaji lakini Mechi za 1980s to 90s nyingi zipo recorded Mitandaoni huwa naziangalia.

Kwa kukusaidia nenda AzamTV channel ya LFCTV baadhi ya siku wanaekaga mechi zao hao utawaona uwezo wao wakicheza.

Pia nenda YouTube utakuta mechi mpaka dakika 60 zipo kaangalie.

Hao kina Grobbelaar, Barnes, Rush kama hujui wamecheza Liverpool mpaka juzi miaka ya 1995 tu kama hujui.

Kuangalia mechi zilizorekodiwa haimaanishi kuwa naona uwezo mwengine usiokuwa wa kwao.
 
Back
Top Bottom