Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Copied somewhere
NAFIKIRI Liverpool ndio timu ya ‘ajabu’ zaidi duniani. Nimekua shabiki wake kwa miaka zaidi ya 20 na nadhani ndio kitu pekee nachokijua kwa asilimia 100. Ondoka hapa nitarudi siku nyingine.
Sogea kwenye hoja: Unamtazama Darwin Nunez? Mimi siyo mwenye elimu sana na ufundi wa soka ila sivutiwi kabisa na namna ambavyo Darwin hukosa magoli.
Hakuna mchezaji ambaye anapokea critics mitandaoni kama Darwin. Huku kwetu vibanda umiza jina lake linapokea matusi sana.
Magroup ya whatsap hakosi kutukanwa na kukosolewa.
Well! Je huwa unazisikiza sauti za mashabiki wa Liverpool (Kopites) wakiimba jina la Nunez pale Anfield ama kiwanja chochote cha ugenini?.
Nje ya Mohamed Salah ni Darwin ambaye anaongoza kwa jina lake kuimbwa zaidi.
Mashabiki hu-chant “Nunez Nunez Nunez Nunez”
Huimba jina la mchezaji ambaye anaongoza kwa kukosa idadi kubwa ya magoli. Lakini wao hawajali wanaimba tu jina lake.
Jana kwenye mchezo vs Fulham ndio Kopites walifanya tukio ambalo sikumbuki lini niliwahi kuliona ama kuliskia.
TUKIO LA KWANZA: Kipindi cha kwanza mchezo ukiendelea tukiwa nyuma kwa goli moja ndipo mashabiki wakaanza kuliimba jina lake Nunez Nunez.
Ishu siyo kuimba jina lake ishu ni kwamba walikua wakimuimba Nunez akiwa nje akiwarm. Jana hakuanza aliingia sub.
TUKIO LA PILI: Nunez anapokea semi assist kutoka kwa Jota nae anaassist kwa Cody ambaye anafunga goli la pili la ushindi.
Again Kopites wakanyanyuka na kuanza kuimba jina la Nunez kana kwamba ndie amefunga goli.
Nataka kusema nini? Kopites wanajua Darwin ni kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa lakini aliyesajiliwa kwa fedha nyingi.
Wanaujua ubora wake wanajua njaa yake lakini wameamua kumbeba kifuani kwao licha ya magoli mengi anayokosa.
Wanaimba jina lake ili kuzidi kuijenga confidence yake. Imani yetu ni kwamba ipo siku bahati itakua upande wake na atafunga sana.
Jana Klopp alisema Darwin anafanya kila kitu kwa asilimia 100 lakini anakosa bahati tu. Na ipo siku bahati itahamia kwake.
Nunez Nunez Nunez The Warrior
✍️ @bill_shankly1892
.
.
#liverpootanzania #liverpoolsupportertanzaniafoundation #liverpoolfans #liverpoolfcafricaswahili #nunez