Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Copied somewhere

NAFIKIRI Liverpool ndio timu ya ‘ajabu’ zaidi duniani. Nimekua shabiki wake kwa miaka zaidi ya 20 na nadhani ndio kitu pekee nachokijua kwa asilimia 100. Ondoka hapa nitarudi siku nyingine.

Sogea kwenye hoja: Unamtazama Darwin Nunez? Mimi siyo mwenye elimu sana na ufundi wa soka ila sivutiwi kabisa na namna ambavyo Darwin hukosa magoli.

Hakuna mchezaji ambaye anapokea critics mitandaoni kama Darwin. Huku kwetu vibanda umiza jina lake linapokea matusi sana.

Magroup ya whatsap hakosi kutukanwa na kukosolewa.

Well! Je huwa unazisikiza sauti za mashabiki wa Liverpool (Kopites) wakiimba jina la Nunez pale Anfield ama kiwanja chochote cha ugenini?.

Nje ya Mohamed Salah ni Darwin ambaye anaongoza kwa jina lake kuimbwa zaidi.

Mashabiki hu-chant “Nunez Nunez Nunez Nunez”

Huimba jina la mchezaji ambaye anaongoza kwa kukosa idadi kubwa ya magoli. Lakini wao hawajali wanaimba tu jina lake.

Jana kwenye mchezo vs Fulham ndio Kopites walifanya tukio ambalo sikumbuki lini niliwahi kuliona ama kuliskia.

TUKIO LA KWANZA: Kipindi cha kwanza mchezo ukiendelea tukiwa nyuma kwa goli moja ndipo mashabiki wakaanza kuliimba jina lake Nunez Nunez.

Ishu siyo kuimba jina lake ishu ni kwamba walikua wakimuimba Nunez akiwa nje akiwarm. Jana hakuanza aliingia sub.

TUKIO LA PILI: Nunez anapokea semi assist kutoka kwa Jota nae anaassist kwa Cody ambaye anafunga goli la pili la ushindi.

Again Kopites wakanyanyuka na kuanza kuimba jina la Nunez kana kwamba ndie amefunga goli.

Nataka kusema nini? Kopites wanajua Darwin ni kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa lakini aliyesajiliwa kwa fedha nyingi.

Wanaujua ubora wake wanajua njaa yake lakini wameamua kumbeba kifuani kwao licha ya magoli mengi anayokosa.

Wanaimba jina lake ili kuzidi kuijenga confidence yake. Imani yetu ni kwamba ipo siku bahati itakua upande wake na atafunga sana.

Jana Klopp alisema Darwin anafanya kila kitu kwa asilimia 100 lakini anakosa bahati tu. Na ipo siku bahati itahamia kwake.

Nunez Nunez Nunez The Warrior

✍️ @bill_shankly1892
.
.
#liverpootanzania #liverpoolsupportertanzaniafoundation #liverpoolfans #liverpoolfcafricaswahili #nunez
 
IMG-20240112-WA0067.jpg
 
Darwin Nunez akiwa na Liverpool katika mashindano yote msimu huu.

◉ 30 games
◉ 08 goals
◉ 10 assists
◉ 36 shots on goal
◉ 18 goal contributions

ℹ️ Darwin Nunez sasa ni mmoja kati ya wachezaji watatu pekee waliotoa assists 10 au zaidi kwa timu za Premier League katika mashindano yote msimu huu.

🅰️ 11 — Bukayo Saka
🅰️ 10 — Ward-Prowse
🅰️ 10 — Darwin Nunez
Salute the Boy...

YNWA
 
Mac Allister

"I'm very happy because there were so many nice goals during this month," Mac Allister said after collecting the award. "But thank you to the fans and everyone that voted for this goal to be Goal of the Month.

"[It's] not a bad one to be the first [goal] at the club! Definitely one of the nicest goals I've scored in my career so far. It's a nice one.

"I think on the pitch I didn't realise how good it was. Then when I saw the replay, I could see how good it was. Very happy and hopefully many more to come."
 
kumbe baada ya mechi huwa wanakaa sitting room zao na kuangalia marudio

Ahah kuna matukio mengine huwa hawayaoni
 
Ujiulizi mbona baada ya mechi huposti picha zao za baadhi ya matukio.?! Hapa photographer binafsi na wa klabu uhusika.
Nafikiri hutumia replay pia kufanyiwa match analysis.
Casemiro aliwaajiri video analyst wake watatu. Kabla ya mechi husika wanampa data kuhusu mpinzani na acheze vipi akabiliane vipi, na baada ya mechi wampe tena data amecheza vipi amekabiliana vipi.
 
Copied somewhere

NAFIKIRI Liverpool ndio timu ya ‘ajabu’ zaidi duniani. Nimekua shabiki wake kwa miaka zaidi ya 20 na nadhani ndio kitu pekee nachokijua kwa asilimia 100. Ondoka hapa nitarudi siku nyingine.

Sogea kwenye hoja: Unamtazama Darwin Nunez? Mimi siyo mwenye elimu sana na ufundi wa soka ila sivutiwi kabisa na namna ambavyo Darwin hukosa magoli.

Hakuna mchezaji ambaye anapokea critics mitandaoni kama Darwin. Huku kwetu vibanda umiza jina lake linapokea matusi sana.

Magroup ya whatsap hakosi kutukanwa na kukosolewa.

Well! Je huwa unazisikiza sauti za mashabiki wa Liverpool (Kopites) wakiimba jina la Nunez pale Anfield ama kiwanja chochote cha ugenini?.

Nje ya Mohamed Salah ni Darwin ambaye anaongoza kwa jina lake kuimbwa zaidi.

Mashabiki hu-chant “Nunez Nunez Nunez Nunez”

Huimba jina la mchezaji ambaye anaongoza kwa kukosa idadi kubwa ya magoli. Lakini wao hawajali wanaimba tu jina lake.

Jana kwenye mchezo vs Fulham ndio Kopites walifanya tukio ambalo sikumbuki lini niliwahi kuliona ama kuliskia.

TUKIO LA KWANZA: Kipindi cha kwanza mchezo ukiendelea tukiwa nyuma kwa goli moja ndipo mashabiki wakaanza kuliimba jina lake Nunez Nunez.

Ishu siyo kuimba jina lake ishu ni kwamba walikua wakimuimba Nunez akiwa nje akiwarm. Jana hakuanza aliingia sub.

TUKIO LA PILI: Nunez anapokea semi assist kutoka kwa Jota nae anaassist kwa Cody ambaye anafunga goli la pili la ushindi.

Again Kopites wakanyanyuka na kuanza kuimba jina la Nunez kana kwamba ndie amefunga goli.

Nataka kusema nini? Kopites wanajua Darwin ni kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa lakini aliyesajiliwa kwa fedha nyingi.

Wanaujua ubora wake wanajua njaa yake lakini wameamua kumbeba kifuani kwao licha ya magoli mengi anayokosa.

Wanaimba jina lake ili kuzidi kuijenga confidence yake. Imani yetu ni kwamba ipo siku bahati itakua upande wake na atafunga sana.

Jana Klopp alisema Darwin anafanya kila kitu kwa asilimia 100 lakini anakosa bahati tu. Na ipo siku bahati itahamia kwake.

Nunez Nunez Nunez The Warrior

[emoji3578] @bill_shankly1892
.
.
#liverpootanzania #liverpoolsupportertanzaniafoundation #liverpoolfans #liverpoolfcafricaswahili #nunez

They way kops chant his name ndio inampa energy mchezaji. He is a topic currently pale Anfield.

Kwa sasa Darwin akipiga tu kipa achomoe its a joy, aki assist ndio enhee, akifunga uwanja unalipuka kwa shangwe.

Anafunga Gakpo anaimbwa Nunez aliyetoa assist. They are just comfort him. Na uzuri jamaa ana moyo mgumu mchezaji mwingine angejikatia tamaa, kwa umri wake, bei yake, wapinzani wasio wapinzani wanamuangushia matusi kila leo, upo timu kubwa pressure yake kuhimili sio rahisi, but Darwin is trying so hard to manage all these to stay calm. Days to come it will pay him.

Darwin El pantera Nunez. Star boy Up coming World Class striker.
 
Ujiulizi mbona baada ya mechi huposti picha zao za baadhi ya matukio.?! Hapa photographer binafsi na wa klabu uhusika.
Nafikiri hutumia replay pia kufanyiwa match analysis.
Casemiro aliwaajiri video analyst wake watatu. Kabla ya mechi husika wanampa data kuhusu mpinzani na acheze vipi akabiliane vipi, na baada ya mechi wampe tena data amecheza vipi amekabiliana vipi.
dah ndio maana alikuwa bonge la mido

maujuzi ya kocha wa viungo jumuisha ya hao analyst wake lazima atishe
 
Back
Top Bottom