We never complained when Firmino was not scoring but was creating for Salah n Mane...
Soon utasikia Klopp akisema Nunez is the system, he is the engine of front line.. 🔥
YNWA
We never complained when Firmino was not scoring but was creating for Salah n Mane...
Soon utasikia Klopp akisema Nunez is the system, he is the engine of front line.. 🔥
YNWA
Yupo kaka yake humuHahah
Kasoro wewe na ndugu zako kina Grau.
Saint Anne tuache kwanza sasahivi habari iliyopo ni Cutes Jones
Darwin Nunez akiwa na Liverpool katika mashindano yote msimu huu.
◉ 30 games
◉ 08 goals
◉ 10 assists
◉ 36 shots on goal
◉ 18 goal contributions
[emoji3482] Darwin Nunez sasa ni mmoja kati ya wachezaji watatu pekee waliotoa assists 10 au zaidi kwa timu za Premier League katika mashindano yote msimu huu.
[emoji2402] 11 — Bukayo Saka
[emoji2402] 10 — Ward-Prowse
[emoji2402] 10 — Darwin Nunez
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona golikipa wangu haonwi kabisa
Eti kila mtu anamjadili Jones
Nasimama na KelleherHakupata test za kutosha kiasi cha kuwa considered. Hapa story ni Jones na Bradley. Kisha El pantera [emoji197] from bench akatufungulia codes za kuwafungua Fulham call him Nunez Darwin
Jamani, mimi nimeleta tu habari njema ya Mane kuoa baada ya kukimbia stress za livakuku. Ukienda Livakuku nenda na mke wako kabisa maana ukishaanza kukimbizana na kina Nunez, muda wa kuoa utapata saa ngapi? Ndiyo tuliyoona kwa Mane
Mlibebwa nyie hamna lolote. Nyie ndiyo mbeleko fc wapya england baada ya mamacita, manyumbu, chelkenge na TottenhamNaona Fulham wanekulipia kisasi arse 8
Nilikwambia hao wana hamu ya kupasuliwa fully
Hata watoto wa Academy tungewaacha wangewapasua tu
Mbona nyie hamjabebwa na hiyo mbelekoMlibebwa nyie hamna lolote. Nyie ndiyo mbeleko fc wapya england baada ya mamacita, manyumbu, chelkenge na Tottenham
Tunarudi soon, atakayepata bahati mbaya ya kukutana na sisi.....Mbona nyie hamjabebwa na hiyo mbeleko
Hata ushindi wa mchongo hamna
Eti mmeenda Dubai kupasha viungo..
Na bado,kipigo ni kilekile.
Nadhan ungesema kikosi chako bora kwa era yako. Huwezi kumuweka mtu kama dahlish , Barnes na rush coz hujawaona wakicheza hawa zaidi ya viklip tuKwa 21st Century kwa mfumo wa 4-4-2 hichi kikosi ni sawa kabisa.
Ila kwa mfumo wa 4-3-3 basi hapo kati ya Suarez au Torres lazima mmoja atoke ili kwenye Mido aingie mmoja kati ya Mascerano au Fabinho.
But kwa kikosi changu cha muda wote basi ni [emoji116][emoji116]
John Barnes - I. Rush - Salah
Alonso - Gerrard - Dalglish
Robbo - VVD - Ph. Thompson - TAA
Bruce Grobbelaar
Kocha: Bob Paisley
Mnarudi wapi?😂Tunarudi soon, atakayepata bahati mbaya ya kukutana na sisi.....
Wanyonge ni manyumbu, nyie na chelkenge. Sisi tunawapa baraka zetu kwa ubingwa ila zile nafasi ni haki yetuMnarudi wapi?😂
Maporomokoni labda kwa wenzenu Chelsea
Pale Top 3 hapakaliwi na wanyonge
Kuna mdau alisema suala siyo kuamua kushinda au kutokushindaWanyonge ni manyumbu, nyie na chelkenge. Sisi tunawapa baraka zetu kwa ubingwa ila zile nafasi ni haki yetu
Nadhan ungesema kikosi chako bora kwa era yako. Huwezi kumuweka mtu kama dahlish , Barnes na rush coz hujawaona wakicheza hawa zaidi ya viklip tu
mzee wa vichwa a.k.a ndonga