Kitu kizuri ni kua tutazidi kua hot misimu ijayo coz wote hao n machaliiView attachment 2879314
Jinsi CJ17 alivyokuwa anazunguka pale uwanjani, alimpa kazi nyepesi sana Mc10. Hakika dogo amekuwa mtamu kama mcharo. Sijui kiwango cha maumivu aliyopata ni makubwa kiasi gani; yasije yakawa makubwa yakamrudisha nyuma tena.
Uchokozi pro max. Sasa saka amemfanya nini huyo torvik?
Mi nilikuwa team Zambia.Mie hapa sijafikia level hizo za uzalendo. Niliangalia kote kote dakika zote. Tunasikitisha hatuna Energy ya kumsaka mpinzani licha ya kuwa pungufu. Tupo tupo tumejaa siasa badala ya uhalisia.
Turudi duniani
We won 0-4
Darwin scored 2.
Jota scored 2.
Assisters
Jota.
Gakpo.
Bradley.
Gomez.
YNWA
Saka mablichi 😂😂😂Uchokozi pro max. Sasa saka amemfanya nini huyo torvik?
Kuna mmoja mfungajiSijambo. Jota among most clinical finishers [emoji91]
Kwa Mfunguaji magoli na mfungaji wa magoli haujamuona sio?? 🫠
Jota ni mwambaNunes is better from the flanks
Mpe maua yake
Arteta mjinga sana. Yeye anasema "kama mtu anataka kuwa top player, basi sharti aweze kucheza kila game". Utafikiri yeye mwenyewe hakuwa mchezaji juzi juzi tu hapa.Hahaha tunajaribu kuleta ladha ya mpira tu mkuu hakuna lingine.
Ila Saka anajichelewesha sana apunguze unnecessary touches (too many touches). Afanye simple touches with 1,2 movements apunguze asilimia za kufikiwa mguuni.
Saka anaonesha uchovu wa mwili na akili, na Arteta ndio huwa ampumzishi mambo ya most fouled awaachie kina Ayew huko.
Nyie ngojeni mshuke hapo juu kidogo tu sisi tupande tena. Tutaongea mpaka mfunge akaunti zenuSaka mablichi 😂😂😂
Anazidiwa hadi na kiazi Rashid Mpemba
Halafu ndio forward wenu mnategemea afunge awaletee vikombe
Huyu atabeba jag la kumnawishia Ramsdale mwamba wa kupandisha wazimu .
Tukirudi tena pale juu hapatakalikaMlibweka sana aisee
Mi nilikuwa team Zambia.
Nilikaa kinyonge sana hadi dakika ya mwisho kilioni kikageuka kicheko[emoji91][emoji91][emoji91]
Oh Jotaaaa mtu mbad
Nilitaka niangalie hapa marudio ila mitanesco ni mijinga.
Kuna mmoja mfungaji
Mwingine mbahatishaji ambaye atarudi tu kwenye default mode yake.
Hongera zake bhana
Hajagonga mwamba leo.
Arteta mjinga sana. Yeye anasema "kama mtu anataka kuwa top player, basi sharti aweze kucheza kila game". Utafikiri yeye mwenyewe hakuwa mchezaji juzi juzi tu hapa.
Arteta mjinga sana. Yeye anasema "kama mtu anataka kuwa top player, basi sharti aweze kucheza kila game". Utafikiri yeye mwenyewe hakuwa mchezaji juzi juzi tu hapa.
Mrudi pale juu kufanya niniTukirudi tena pale juu hapatakalika
Nyie ngojeni mshuke hapo juu kidogo tu sisi tupande tena. Tutaongea mpaka mfunge akaunti zenu
Hizo timu si za kiboya tu zitakuwa zinauana zenyewe kwa zenyewe huku sisi wajanja tukipeta tuMuda huo timu zote zitakuwa zimelala?
Saka mtoto wa keko machungwa yule. Jina halisi Bakari Isihaka. Hakutaka tu figisu za TFF akaona azamie kwa mfalmeSema tu Saka mgumu, vinginevyo angekuwa na wodi yake maalum.
Uzi wenu wa Arsenal umeenda wapi?Saka mtoto wa keko machungwa yule. Jina halisi Bakari Isihaka. Hakutaka tu figisu za TFF akaona azamie kwa mfalme