The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Vigongo viwili hatare
Sana halafu mechi zimepandana, good thing squad ipo vizuri in term of number and quality
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigongo viwili hatare
Jukwaa la Livakuku ndio the new jukwaa la Ze Ganaz. Yaani huku hakupoi kila dk notifications
Kukaa kileleni kuna raha yake. Asikuambie mtu. Ukiwa kileleni huna adui. Ukitoka hapo sasa...Tatizo la Jukwaa lenu mashabiki wengi ni mbumbumbu wanamtukana hamis77 wakiamini kumtukana yeye ndiyo suluhisho la Matatizo wakati hawafikii hata asilimia 5% ya anavoujua mpira hamis77.
hamis77 ni hazina kuwepo kwenye ule uzi wenu lakini wengi hawajui.
Mimi binafsi ni big fan wa hamis77 hupenda kuona maandiko yake.
Ni sawa na kwenye uzi huu kumshambulia Mosdef utaonekana ni Kichaa tu.
That applies to dreamers like assessKukaa kileleni kuna raha yake. Asikuambie mtu. Ukiwa kileleni huna adui. Ukitoka hapo sasa...
Ndiyo yanayotukuta mara kwa mara sisi
Nimekumiss sana Nkamu wangu jamani mweeeNipo Nkamu nawachungulia tu 😊
Umemuona kijana wako Nunez juzi? 😂
Mashabiki wa Aseno wakishavurugwa na wakikandwa,Kila mtu akiingia anaenda kumaliza hasira kwa kumtukana Hamis.Tatizo la Jukwaa lenu mashabiki wengi ni mbumbumbu wanamtukana hamis77 wakiamini kumtukana yeye ndiyo suluhisho la Matatizo wakati hawafikii hata asilimia 5% ya anavoujua mpira hamis77.
hamis77 ni hazina kuwepo kwenye ule uzi wenu lakini wengi hawajui.
Mimi binafsi ni big fan wa hamis77 hupenda kuona maandiko yake.
Ni sawa na kwenye uzi huu kumshambulia Mosdef utaonekana ni Kichaa tu.
Mashabiki wa Aseno wakishavurugwa na wakikandwa,Kila mtu akiingia anaenda kumaliza hasira kwa kumtukana Hamis.Tatizo la Jukwaa lenu mashabiki wengi ni mbumbumbu wanamtukana hamis77 wakiamini kumtukana yeye ndiyo suluhisho la Matatizo wakati hawafikii hata asilimia 5% ya anavoujua mpira hamis77.
hamis77 ni hazina kuwepo kwenye ule uzi wenu lakini wengi hawajui.
Mimi binafsi ni big fan wa hamis77 hupenda kuona maandiko yake.
Ni sawa na kwenye uzi huu kumshambulia Mosdef utaonekana ni Kichaa tu.
Hili jukwaa lina watu wenye akili wengi wanaojua mpiraJukwaa la Livakuku ndio the new jukwaa la Ze Ganaz. Yaani huku hakupoi kila dk notifications
Nikataka nishangaeNipo hapa kakake.
YNWA
Ushauri wa bure wa kirafiki nakupa. Usimchokoze Hamis aisee. Tukianza kushinda kwa wingi akiamua kuwaandama mtajuta kufungua uzi wa Livakuku. Akiamua anaweza kumfanya Klopp huyo best coach wenu tangu Livakuku ianzishwe aonekane kama tapeli mmoja tu kama yule wa unyumbuni.
Unaona jinsi manyumbu yanatetemeka kila wakiona Hamis kaingia unyumbuni kupost. Kule watu wakiona post ya Hamis imeingia tu, hata kabla hawajaisoma, siku zao zinaharibika hapo hapo. Wapiga wake na watoto na walevi wa Sinza pale unyumbuni ni wengi na sababu kuu ni Hamis.
Ni mwenzetu tu anaye enjoy mmwembwe za ushabiki zikiwemo kukera wapinzani. Ila mawazo yake si lazima yafuatwe na kila mtu. Tupo tunaosema Kai bado si mchezaji, wapo wanaosema Kai bonge la chezaji. Ndiyo raha ya mpira. Kujua mpira kwa level ya uchambuzi siyo muhimu kwenye ushabiki huu wa kukerana.Na hizo vurugu zake ndo zinazomcost huyu mchambuzi wenu
Nyumbu wanaruka naye, hana pa kupumua
Akirudi huku washkaji wa Ramsdale nao wamemshikilia.
Jamaa japo mpira anajua,ila huwa anaendeshwa na ushabiki zaidi kuliko ukweli.
bahati ndio inapiga hodi sasa kama ingekuwa haijaanza kufiga hodi hata mwamba lisingeukaribia kabisaNimekumiss sana Nkamu wangu jamani mweee
Pacha hajambo?
Nunez lile goli ya mwisho lilikuwa linaenda kugonga mwamba kama kawaida yake,Sema Mungu siyo Athuman mwee🤣😂
Agholosya
Kabisa yaaniNi mwenzetu tu anaye enjoy mmwembwe za ushabiki zikiwemo kukera wapinzani. Ila mawazo yake si lazima yafuatwe na kila mtu. Tupo tunaosema Kai bado si mchezaji, wapo wanaosema Kai bonge la chezaji. Ndiyo raha ya mpira. Kujua mpira kwa level ya uchambuzi siyo muhimu kwenye ushabiki huu wa kukerana.
Bahati ilikuwa upande wakebahati ndio inapiga hodi sasa kama ingekuwa haijaanza kufiga hodi hata mwamba lisingeukaribia kabisa
Jukwaa la Man united... Chief Mkwawa alikuwa best kwenye uchambuzi...siku hizi kalikimbia jukwaa...Jukwaa la Chelsea pia kuna wajuzi wa mpiraHili jukwaa lina watu wenye akili wengi wanaojua mpira
Na sisi vilaza wachache😂
Tunabebwa na wanaojua,tukiquotiana basi wanatuzibia madhaifu.
Arse 8 ukimtoa Hamis,sijui na nani yule..karibia wote wanaobaki ni vilaza.,hawajui mpira kama mimi 🤣🤣🤣🤣
Ukija majukwaa mengine nako ni hivyohivyo.
Kule unyumbuni ni kama wana stop ya matusi,,itategemea tu mbuzi wa kafara ni nani hiyo siku,, Rashid Mpemba,Profesa wa gengeni ama Kobe Mauno wanamwita.
Kule mama Cita sijui kama kuna yeyote anayejua mpira.
Eti KD Davet ,kule kwenu nani anajua mpira?
Jitoe ufahamu kama hujaona mishe zake akiwa CS haha...Nikataka nishangae
Kaka yake amtelekeze😂😂😂
Jukwaa la Man united... Chief Mkwawa alikuwa best kwenye uchambuzi...siku hizi kalikimbia jukwaa...Jukwaa la Chelsea pia kuna wajuzi wa mpira
AmejitahidiJitoe ufahamu kama hujaona mishe zake akiwa CS haha...
No Salah No problem.
YNWA