wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Nimekumiss pia Nkamu wanguNimekumiss sana Nkamu wangu jamani mweee
Pacha hajambo?
Nunez lile goli ya mwisho lilikuwa linaenda kugonga mwamba kama kawaida yake,Sema Mungu siyo Athuman mwee🤣😂
Agholosya
Pacha hajambo, anakusalimu.
Nunez anaanza kuwa clinical finisher mbele ya goli sasa, we subiri leo utaona pia lazima atoke na kitu.
Ha ha ha ha ha!!!!!