Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jinsi CJ17 alivyokuwa anazunguka pale uwanjani, alimpa kazi nyepesi sana Mc10. Hakika dogo amekuwa mtamu kama mcharo. Sijui kiwango cha maumivu aliyopata ni makubwa kiasi gani; yasije yakawa makubwa yakamrudisha nyuma tena.

Superb. Nilisisimka baada ya kuona anajishika nyuma ya paja..!!! Hope its not serious God forbid.
 
Uchokozi pro max. Sasa saka amemfanya nini huyo torvik?

Hahaha tunajaribu kuleta ladha ya mpira tu mkuu hakuna lingine.

Ila Saka anajichelewesha sana apunguze unnecessary touches (too many touches). Afanye simple touches with 1,2 movements apunguze asilimia za kufikiwa mguuni.

Saka anaonesha uchovu wa mwili na akili, na Arteta ndio huwa ampumzishi mambo ya most fouled awaachie kina Ayew huko.
 
Mie hapa sijafikia level hizo za uzalendo. Niliangalia kote kote dakika zote. Tunasikitisha hatuna Energy ya kumsaka mpinzani licha ya kuwa pungufu. Tupo tupo tumejaa siasa badala ya uhalisia.

Turudi duniani
We won 0-4

Darwin scored 2.
Jota scored 2.

Assisters
Jota.
Gakpo.
Bradley.
Gomez.

YNWA
Mi nilikuwa team Zambia.
Nilikaa kinyonge sana hadi dakika ya mwisho kilioni kikageuka kicheko🔥🔥🔥

Oh Jotaaaa mtu mbad
Nilitaka niangalie hapa marudio ila mitanesco ni mijinga.
 
Uchokozi pro max. Sasa saka amemfanya nini huyo torvik?
Saka mablichi 😂😂😂
Anazidiwa hadi na kiazi Rashid Mpemba

Halafu ndio forward wenu mnategemea afunge awaletee vikombe

Huyu atabeba jag la kumnawishia Ramsdale mwamba wa kupandisha wazimu .
 
Attachments

  • 20230317_140105 (1).jpg
    20230317_140105 (1).jpg
    71.4 KB · Views: 4
Sijambo. Jota among most clinical finishers [emoji91]

Kwa Mfunguaji magoli na mfungaji wa magoli haujamuona sio?? 🫠
Kuna mmoja mfungaji
Mwingine mbahatishaji ambaye atarudi tu kwenye default mode yake.

Hongera zake bhana
Hajagonga mwamba leo.
 
Attachments

  • 1704721101444.jpg
    1704721101444.jpg
    37.9 KB · Views: 5
Hahaha tunajaribu kuleta ladha ya mpira tu mkuu hakuna lingine.

Ila Saka anajichelewesha sana apunguze unnecessary touches (too many touches). Afanye simple touches with 1,2 movements apunguze asilimia za kufikiwa mguuni.

Saka anaonesha uchovu wa mwili na akili, na Arteta ndio huwa ampumzishi mambo ya most fouled awaachie kina Ayew huko.
Arteta mjinga sana. Yeye anasema "kama mtu anataka kuwa top player, basi sharti aweze kucheza kila game". Utafikiri yeye mwenyewe hakuwa mchezaji juzi juzi tu hapa.
 
Saka mablichi 😂😂😂
Anazidiwa hadi na kiazi Rashid Mpemba

Halafu ndio forward wenu mnategemea afunge awaletee vikombe

Huyu atabeba jag la kumnawishia Ramsdale mwamba wa kupandisha wazimu .
Nyie ngojeni mshuke hapo juu kidogo tu sisi tupande tena. Tutaongea mpaka mfunge akaunti zenu
 
Mi nilikuwa team Zambia.
Nilikaa kinyonge sana hadi dakika ya mwisho kilioni kikageuka kicheko[emoji91][emoji91][emoji91]

Oh Jotaaaa mtu mbad
Nilitaka niangalie hapa marudio ila mitanesco ni mijinga.

Hongera na Pole
 
Arteta mjinga sana. Yeye anasema "kama mtu anataka kuwa top player, basi sharti aweze kucheza kila game". Utafikiri yeye mwenyewe hakuwa mchezaji juzi juzi tu hapa.

Sema tu Saka mgumu, vinginevyo angekuwa na wodi yake maalum.
 
Back
Top Bottom