Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimekumiss sana Nkamu wangu jamani mweee
Pacha hajambo?

Nunez lile goli ya mwisho lilikuwa linaenda kugonga mwamba kama kawaida yake,Sema Mungu siyo Athuman mwee🤣😂
Agholosya
Nimekumiss pia Nkamu wangu
Pacha hajambo, anakusalimu.

Nunez anaanza kuwa clinical finisher mbele ya goli sasa, we subiri leo utaona pia lazima atoke na kitu.

Ha ha ha ha ha!!!!!
 
Apambane tu aweze
Uzuri ana wenzie wazuri wa kujifunza,
Yupo jota mtu mbad,,aendelee kummotivate dogo.


Akianza kufunga ntakuwa shabiki wake.
Nimekumiss pia Nkamu wangu
Pacha hajambo, anakusalimu.

Nunez anaanza kuwa clinical finisher mbele ya goli sasa, we subiri leo utaona pia lazima atoke na kitu.

Ha ha ha ha ha!!!!!
 
In the latest episode of the We Are Liverpool podcast, Joe Gomez shares his mindset in being able to return to his best after devastating injury setbacks, the guidance given to him by Jürgen Klopp and Virgil van Dijk, dressing-room dynamics, plus whether he feels his long wait for a goal will finally end this season [emoji2424]
 
Jukwaa la Man united... Chief Mkwawa alikuwa best kwenye uchambuzi...siku hizi kalikimbia jukwaa...Jukwaa la Chelsea pia kuna wajuzi wa mpira

Chelsea wachambuzi walishaukimbia Uzi kitambo sasa hivi kabaki Lembu kazi yake kuchukuwa Articles za wachambuzi wa Ulaya kuja kuzitafsiri kwa kiswahili kudanganya wenzake.

Waliobakia wote ni Rent boys wa kusifia wachezaji siku wanayoshinda na kuwatukana siku wanayofungwa.

Kule kwa Manure wachambuzi hawakai ni kama kwa Arsenal huwa wanatukanwa na plastic fans.
 
Bila shaka plastic wetu hapa ni Miss Liverpool 😎😎😎😎😎....

Saint Anne 🤣🤣🤣🤣🏃 🏃 🏃 🏃 🏃

YNWA
 
Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) .......

Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) .......
 
Bila shaka plastic wetu hapa ni Miss Liverpool 😎😎😎😎😎....

Saint Anne 🤣🤣🤣🤣🏃 🏃 🏃 🏃 🏃

YNWA

Hapana! Huyo sio plastic fan ni mshereheshaji tu 😅

Manure kuna ARV
Chelsea kuna Ollachuga
Sisi tuna Saint Anne
Arsenal sijajua wana nani

Kila uzi lazima tu kuwepo na Mtu wa kuzunguka majukwaa mengine kusherehesha.
 
Bila shaka plastic wetu hapa ni Miss Liverpool [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]....

Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

YNWA

Hapana huyu sio plastic fan, ni aina ya mashabiki kinda kindaki ila wenye roho ndogo sana, ukizingatia ni Madam hisia zao za mpira na siye tofauti kabisaaa.

Kama anakuambia Kelleher na Beckor wote ni sawa tu, don you smell how funny she is? [emoji851]

Na enjoy wadada kwenye mpira hasa katika comparisons
 
Kwa Game niliyo iona Jana bdo tunahitaji proper DM, Klopp jana alivyo mtoa tu Mac Allister Mambo yakaharibika.

Ishu sio Macca pekee nafikiri kutoka kwa Nunez pia Fulham walifunguka sana. Nunez kweli anakosa magoli ila uwepo wake uwanjani sio jambo la kuchukulia masihara. He is always keep defenders busy. Umeona Jota hakuwa na madhara kwa sababu hatukuwa na mtu hatari katika mikimbio tofauti akiwepo Nunez na Salah au mmoja wao Jota anakuwa hatari.

Klopp jana sub ilimfelisha kumtoa Nunez for Jota na Macca for Jones. It should be Jones for Elliot and Jota for Gakpo au Jones for Graven and Jota for Diaz. Nilimuelewa Klopp kuhofia injury ya Macca baada ya ile hard contact second half. MF ya Jones Elliot and Graven ilikuwa too lighter, good thing hatukuathiriwa nayo moja kwa moja.

Macca toka amerudi jamas kawa mzuri sana as 6 weakness yke ni speed ila anajua kudeal nayo vizuri sana.

DM Muhimu ila hatutasaji january hii, good news injury wanarudi we will have depth soon.
 
Hello Miss Liverpool Saint Anne

Shikamoo.
Leo tunaweza kumsifu Caoimhim Keller. He was superb yesterday with great saves. Jana alijaribiwa na hakujaribika na kutuweka mchezoni dakika zote tisini.

Next game vs Norwich coming subday atadaka yeye. Great game from him.

YNWA
 
Huwa nasema mimi Kelleher ni golikipa wa dunia

Si mnaona sasa😂🔥🔥
Ukweli una tabia ya kujidhihirisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


Ngoja niangalie hiyo mechi... Kelleher the great 🔥
Jana mitanesco ilivyowasha umeme, nikataka nishuhudie kichwa cha mwendawazimu Tz kikinyolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…