[emoji1787] [emoji1787] Yankees kwa kupenda short cut haha usishangae aisee hawa jamaa wana roho ngumu sana... Tangu msimu ule wanatuletea akina Kabak wakati tulitakiwa kujenga kikosi cha kumkimbiza Kipara msimu ule sina imani kabisa na hawa jamaa.
Pona yetu ni kama Klopp atahusika na kupendekeza ama kushauri nani ni nani awe mridhi wake...
YNWA
mnamsahau wa girona!Kwa sasa kuna makocha wawili hawana profile kubwa sana lakini with low budget wanafanya vyema.
Xavi Alonso wa Leverkusen.
De Zerbi wa Brighton.
Hawa ndio makocha wanaopigiwa chapuo kubwa tusubiri tuone.
mnamsahau wa girona!
Hii timu apewe Unai Emery kuliko hata huyo Alonso.
Apewe nafasi hata awe Interim manager (in the pretext of 'we are still searching' 🤣). Akifanya vizuri wanamcomfirm kama permanent.View attachment 2885733
Captain Marvelous kama nilivyokuambia jana jamaa atahusika japo kwa ushauri. Mchakato umeanza huko.
Kazi kwa FSG.
Chaliifrancisco ulichokiwaza kwa Lijnder Klopp said man is ready for management now. Kwa alivyokaa na Klopp muda mrefu anajua in & out kuhusu klabu na FSG philosophy.
Anaweza kutupeleka pazuri zaidi.
YNWA
Community Shield ya Klopp umeificha wapi tena.Liverpool since Klopp joined
UCL
Super cup
Club world cup
Premier League
Carabao cup
FA cup
Chelsea since 2015 (when Klopp joined)
UCL
Super cup
Club world cup
Premier League
FA Cup
Europa League
Arsenal since 2015
Arteta this
Arteta that
FA Cup
Community shield
Declan Rice Aura
Saka masterclass
Muda utasema kwa sasa sina favourite candidate kwani wengi wanaotajwa hawajajaribiwa kwenye highest level hivyo tuwe na subira.View attachment 2885733
Captain Marvelous kama nilivyokuambia jana jamaa atahusika japo kwa ushauri. Mchakato umeanza huko.
Kazi kwa FSG.
Chaliifrancisco ulichokiwaza kwa Lijnder Klopp said man is ready for management now. Kwa alivyokaa na Klopp muda mrefu anajua in & out kuhusu klabu na FSG philosophy.
Anaweza kutupeleka pazuri zaidi.
YNWA
Huyu wa Girona ni Barcelona bound soon than later au Manchester City akisepa Kipara... Girona na Manchester City wanamilikiwa na Mansour...Sijajua profile yake, ishu ni uwezo wa kuhili pressure, ingawa anajitahidi kutoka 10th last season baada ya kupanda na msimu huu anapambania ubingwa,
Baba Miujiza kakata stimu sasa hana tena nguvu ya kuendelea na hii kazi kwa msimu mwingine mmoja...Walijiamini tuna baba wa miujiza, na ikabaki hivyo.
Atahusika kwa namna moja au nyingine nafikiri hawezi pendekeza nje ya Pep Lijnder na atawapa sababu zake za kuwashawishi.
Tuone kwanza Sporting director atakuwa nani,. Tutapata pa kuanzia
Nina wasiwasi na hili. Xavi anachapa lapa msimu huu ukiishaUtashangaa Klopp huyooooo Barcelona
Apewe nafasi hata awe Interim manager (in the pretext of 'we are still searching' [emoji1787]). Akifanya vizuri wanamcomfirm kama permanent.
Akipata team nzuri (technical team) anaweza kufanya vizuri. Miaka yote aliyokaa na Klopp kuna mengi atakuwa amejifunza.
Muda utasema kwa sasa sina favourite candidate kwani wengi wanaotajwa hawajajaribiwa kwenye highest level hivyo tuwe na subira.
Nimeona Sky Rumour Mill wanasema Liverpool watatumia data zaidi kumpata mridhi wa Klopp...
Kwingineko Xavi anang'oka Barcelona mwisho wa msimu huu katangaza kuachia ngazi, ikumbukwe muda tu Barcelona wanamuhutaji mno Klopp, naona simu zishaanza kumbebeleza mzee akumbali ile kazi.
YNWA
Huyu wa Girona ni Barcelona bound soon than later au Manchester City akisepa Kipara... Girona na Manchester City wanamilikiwa na Mansour...
YNWA