The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
[emoji1787] [emoji1787] Yankees kwa kupenda short cut haha usishangae aisee hawa jamaa wana roho ngumu sana... Tangu msimu ule wanatuletea akina Kabak wakati tulitakiwa kujenga kikosi cha kumkimbiza Kipara msimu ule sina imani kabisa na hawa jamaa.
Pona yetu ni kama Klopp atahusika na kupendekeza ama kushauri nani ni nani awe mridhi wake...
YNWA
Walijiamini tuna baba wa miujiza, na ikabaki hivyo.
Atahusika kwa namna moja au nyingine nafikiri hawezi pendekeza nje ya Pep Lijnder na atawapa sababu zake za kuwashawishi.
Tuone kwanza Sporting director atakuwa nani,. Tutapata pa kuanzia