Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787] [emoji1787] Yankees kwa kupenda short cut haha usishangae aisee hawa jamaa wana roho ngumu sana... Tangu msimu ule wanatuletea akina Kabak wakati tulitakiwa kujenga kikosi cha kumkimbiza Kipara msimu ule sina imani kabisa na hawa jamaa.

Pona yetu ni kama Klopp atahusika na kupendekeza ama kushauri nani ni nani awe mridhi wake...

YNWA

Walijiamini tuna baba wa miujiza, na ikabaki hivyo.

Atahusika kwa namna moja au nyingine nafikiri hawezi pendekeza nje ya Pep Lijnder na atawapa sababu zake za kuwashawishi.

Tuone kwanza Sporting director atakuwa nani,. Tutapata pa kuanzia
 
Kwa sasa kuna makocha wawili hawana profile kubwa sana lakini with low budget wanafanya vyema.

Xavi Alonso wa Leverkusen.
De Zerbi wa Brighton.

Hawa ndio makocha wanaopigiwa chapuo kubwa tusubiri tuone.
mnamsahau wa girona!
 
IMG_4622.jpg

Captain Marvelous kama nilivyokuambia jana jamaa atahusika japo kwa ushauri. Mchakato umeanza huko.

Kazi kwa FSG.

Chaliifrancisco ulichokiwaza kwa Lijnder Klopp said man is ready for management now. Kwa alivyokaa na Klopp muda mrefu anajua in & out kuhusu klabu na FSG philosophy.

Anaweza kutupeleka pazuri zaidi.

YNWA
 
View attachment 2885733

Apewe nafasi hata awe Interim manager (in the pretext of 'we are still searching' 🤣). Akifanya vizuri wanamcomfirm kama permanent.

Akipata team nzuri (technical team) anaweza kufanya vizuri. Miaka yote aliyokaa na Klopp kuna mengi atakuwa amejifunza.
 
Liverpool since Klopp joined

UCL
Super cup
Club world cup
Premier League
Carabao cup
FA cup

Chelsea since 2015 (when Klopp joined)

UCL
Super cup
Club world cup
Premier League
FA Cup
Europa League

Arsenal since 2015

Arteta this
Arteta that
FA Cup
Community shield
Declan Rice Aura
Saka masterclass
Community Shield ya Klopp umeificha wapi tena.

YNWA
 
View attachment 2885733

Captain Marvelous kama nilivyokuambia jana jamaa atahusika japo kwa ushauri. Mchakato umeanza huko.

Kazi kwa FSG.

Chaliifrancisco ulichokiwaza kwa Lijnder Klopp said man is ready for management now. Kwa alivyokaa na Klopp muda mrefu anajua in & out kuhusu klabu na FSG philosophy.

Anaweza kutupeleka pazuri zaidi.

YNWA
Muda utasema kwa sasa sina favourite candidate kwani wengi wanaotajwa hawajajaribiwa kwenye highest level hivyo tuwe na subira.

Nimeona Sky Rumour Mill wanasema Liverpool watatumia data zaidi kumpata mridhi wa Klopp...

Kwingineko Xavi anang'oka Barcelona mwisho wa msimu huu katangaza kuachia ngazi, ikumbukwe muda tu Barcelona wanamuhutaji mno Klopp, naona simu zishaanza kumbebeleza mzee akumbali ile kazi.

YNWA
 
Walijiamini tuna baba wa miujiza, na ikabaki hivyo.

Atahusika kwa namna moja au nyingine nafikiri hawezi pendekeza nje ya Pep Lijnder na atawapa sababu zake za kuwashawishi.

Tuone kwanza Sporting director atakuwa nani,. Tutapata pa kuanzia
Baba Miujiza kakata stimu sasa hana tena nguvu ya kuendelea na hii kazi kwa msimu mwingine mmoja...
Ukitazama tangu asepe Edwards kwenye management kuna kitu hakijakaa sawa... Kama kweli Klopp haumwi popote basi kuna ishu kubwa sana inaedelea kwenye management ambayo imetucost haya mambo, sitaki kuamini Edwards na mridhi wake hata simkumbuki wote waliodoka katika mazingira kama haya ya Klopp yaani out of nowhere taarifa hii hapa.

YNWA
 
Apewe nafasi hata awe Interim manager (in the pretext of 'we are still searching' [emoji1787]). Akifanya vizuri wanamcomfirm kama permanent.

Akipata team nzuri (technical team) anaweza kufanya vizuri. Miaka yote aliyokaa na Klopp kuna mengi atakuwa amejifunza.

Aisee kwa sasa ni ishu ngumu sana. Ngoja tuone kwanza msimu tunaumalizaje.
 
Muda utasema kwa sasa sina favourite candidate kwani wengi wanaotajwa hawajajaribiwa kwenye highest level hivyo tuwe na subira.

Nimeona Sky Rumour Mill wanasema Liverpool watatumia data zaidi kumpata mridhi wa Klopp...

Kwingineko Xavi anang'oka Barcelona mwisho wa msimu huu katangaza kuachia ngazi, ikumbukwe muda tu Barcelona wanamuhutaji mno Klopp, naona simu zishaanza kumbebeleza mzee akumbali ile kazi.

YNWA

Ujue selection ya kocha mpya ni ngumu sana kujua itakubali au lah.! Angalia Italy timu kubwa wamegeukia wachezaji wao wa zamani ambao bado hawajakwiva.

Kwa sasa kwenye ulimwengu wa mpira kuna makocha wachache sana wenye uwezo mkubwa

Pep
Klopp
Do Carlo

Hawa ndio top three ambao kuondoka kwao sio kuishiwa mbinu ni sababu zingine.

De zerbi tuseme labda bajeti yake ndogo na wamejiwekea standard ya kukuza na kuuza.

Alonso msimu wake wa kwanza mzima huu bado hajafanya vibaya, alikuja last season akaikuta timu mbovu akaishia ya sita last season.

Kama ni data nafikiri;

Nagelsmann
Alonso
Lijnder
De Zerbi watakuwa kwenye list ya FSG itategemea na Sporting director atakayekuja.
 
Huyu wa Girona ni Barcelona bound soon than later au Manchester City akisepa Kipara... Girona na Manchester City wanamilikiwa na Mansour...

YNWA

Naam niliwaza hivyo, Barca watamchukua baada ya Xavi kuamua kurudi kuitumikia familia. But guy is doing good. Napenda falsafa za makocha wa

Ujerumani
Italy
Spain
Netherland (japo kwa sasa wana uhaba wa makocha).

Na ndio trend ya sasa kuwa na makocha wa nchi hizo, matamanio yangu yaangukie kwa wa nchi hizo. England wasijiloge hata kumchukua kocha wa throw balls
 
Back
Top Bottom