Nina Imani na Steven Gerrard
Teh teh teh teh teh teh! Huyu bado sana. Labda kwa kuwa ni kijana wa hapo.
Tangu useme Kelleher ni zaidi ya Mr Philosopher Allison nina wasi wasi umahamia Arusha na jirani yako ni OllaChuga Oc 😂😂😂😂😂Nina Imani na Steven Gerrard
Wazalendo tuna imani na GerrardTangu useme Kelleher ni zaidi ya Mr Philosopher Allison nina wasi wasi umahamia Arusha na jirani yako ni OllaChuga Oc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
AnawezaHalafu ujue maisha ya maajabu sana kwenye macho haya ya nyama,
Ukute Gerrard anapaswa kuwa kocha wa Liverpool huko kusikoonekana ndipo Liverpool mwingereza ang’ae lkn kwa kuwa tupo kwenye macho haya haya.
Gerrard bado hajajitosheleza kuwa Kocha wa klabu kama LFC.
Atleast angesumbua na Villa kipindi kile kidogo angefikiriwa,.
🤣 🤣 🤣 Una hamu ya kua laughing stock JF wewe... Kazi ya kuinoa Liverpool sio ya kupata mwalimu kwa kufuata hisia aisee... Gerrard is good yes but not good enough kua gaffer wa Liverpool atasubiri sana...Wazalendo tuna imani na Gerrard
Huyo Pep Lijnder sijui ligend hata sura ya ukocha hana kabisa, Klopp asituponze.
Uridhi wa kazi ya Klopp umewakuta wengi off guard yaan hata kwenye kamali bookmakers hakua na hata pointi moja ya aidha kuachia au kufukuzwa kazi ujue yaan hii kama mvua za dar aisee imekuja bila formula ni pa pa pa kilio..Hivi hawajamuona Gerrard alivyoiporomosha VILLA? Hii nguvu ya kumpigia kampeni Gerrard wanaipata wapi? Huko uarabuni tu pamemshinda ndio iwe team yenye mapresha kama Liverpool.
Aaaah bana, tuwe serious kidogo. Nilichojionea kwa Villa hapana aisee Gerrard bado sana kuwa kocha kwa timu kama Liverpool.
Teja bardi ya Uingereza ilimpeleka puta sana.
Conte hana kazi.
Zizou hana kazi.
YNWA
Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇
1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) .......
Kazeni tu vichwa🤣 🤣 🤣 Una hamu ya kua laughing stock JF wewe... Kazi ya kuinoa Liverpool sio ya kupata mwalimu kwa kufuata hisia aisee... Gerrard is good yes but not good enough kua gaffer wa Liverpool atasubiri sana...
Kaajiriwa kama PR stunt ya waarabu na sio kwa kigezo cha ubora...
YNWA
Uridhi wa kazi ya Klopp umewakuta wengi off guard yaan hata kwenye kamali bookmakers hakua na hata pointi moja ya aidha kuachia au kufukuzwa kazi ujue yaan hii kama mvua za dar aisee imekuja bila formula ni pa pa pa kilio..
Uzuri wa Liverpool hua taarifa nyeti zinalindwa sana kuvuja wenyewe wanaita doing things Liverpool way na pale zinavuja asilimia kubwa hua ni FSG kupima upepo kwa spin mambo hapa na pale hivyo na hii ya Klopp tuwe na subira wamekaa nayo miezi kadhaa bila kuvujisha mpaka pale Klopp alivyotoa shock of the century news kwamba hatunae msimu wa 2024 2025...
Nina imani kama sio hisia zitatumika tupate Mwalimu wa kuedeleza tulipofikia na sio kurudi nyuma...
Tayari chokochoko zimeanza eti VVD anadai hajui kama atakuwepo baada ya Klopp kusepa mpaka pale atapata kujua mwelekeo wa klabu chini ya kocha mpya... Yaani hii kauli ya hovyo kabisa kutoka kwa Kapteni kwa upande mmoja na ni kauli safi kabisa upande mwingine kwamba FSG wakileta kocha ili mradi kocha wajue VVD, Salah, Allison ambao ni A list pale klabuni hawapo tenaaaaaa...
Ndio kumekucha ni miezi mitatu hapo mbele ya mchakamchaka...
Tetesi Klopp alipewa double ua money deal na Gordon abakie akasema its not about money haha huyu ndio Klopp ninaemjua mie.
YNWA
Hili goli la pili la Norwich Kelleher pale angedaka..
Conte tayari Kasinya AC Milan.
Zizou big no
Kazeni tu vichwa
Gerrard anatua Anfield
yaani nimecheka sanaGerrard hana uwezo wa kuwa hata Kocha wa KMC ya pale Kinondoni.