Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain Marvelous unamuonaje Moyes,, tulibebe hata hili zee litatufaa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Babu Moyes Hapana huyu ni wa mid table, bora hata apewe Morinho aisee😂😂tutoke kwa normal one kwenda kwa special one....

Watue mazima kwa Zizou aje pale Mbappe itakua bonge la statement mashabiki na wapinzani wote watanywea kusubiri upepo wa kisurisuiri ligi msimu mpya ukianza

YNWA
 
Virgil van Dijk: “Let’s make it clear. I am 100% committed to the club, I love the fans. It is fully taken out if context. It’s not about me, it’s about us. Five days ago we weren’t even talking about my contract, so it’s a bit silly!”


Jurgen Klopp on Virgil van Dijk comments and the contract situation at Liverpool: “I’d recommend everybody to stay calm. Nobody has to worry, I’m 100% sure. There’s enough time to everything. These players love to be here at Liverpool, don’t forget that.”

More from Fabrizio Romano here on Van Dijk’s future…

Why Liverpool missed out on these THREE big names…
 
Sister, being a greater player does not means ull become a greater coach. Gerald, Lampard, Ole guna na type ya makocha kama hao wanabebwa na majina yao lakini hawana mbinu zozote uwanjani.
Liverpool ni club kubwa duniani. Inaweza kuwa kwenye top 5. Makampuni makubwa yanawekeza pale kwa kujua watapata faida. Ref nike.
Liverpool inahitaji kocha wa viwango vya Roberto de Zebri. Kwangu mimi huyu ndio kocha anayetufaa kwa sasa. Kwa pale pl nadhani ndio kocha mwenye kikosi chenye thamani ndogo lakini ndio timu inayocheza soka bora baada ya city, na Arsenal. Pili wasije kuajiri coach toka uingereza. Yaani mwingereza. Historia inaonyesha tangu kuanza kwa ligi kuu 1992 hakuna kocha mwingereza aliyewahi kupata ubingwa wa pl.
Najua Mourinho baada ya kusikia hii taarifa, atataka kuifukuzia hii nafasi. Zitaanza campagne mitandaoni za tetesi nk.
Bado mda upo. Tuwe watulivu. Tutapata coach mzuri wa viwango vya liverpool.
Jamuhuri Kiwelu .....
 
Wengi tulivurugwa balaa. Mie niliingia matandaoni ndio nakuta post in 1 min aisee kama naota vile. In way ni vile imekuwa ghafla.

But we are safe bado tupo salama sana, na tutaendelea kuwa salama pia. Thats football. Shughuli ni kumpata kocha mwenye bond na fans na LFC community overall. Wapo wazuri na this time FSG wamekomaa kwenye sekta hii natumai selection zitakuwa nzuri tofauti na miaka ile wanaanza kuendesha timu
Minziro hana timu
 
Ina maana ishu ya kuingilia majukumu ya Ward na Edwards ilikua ni Klopp kumbe maana iweje anaodoka na hapo hapo ofa ya kumrejesha huyu mwamba imeanza...

YNWA

Naam. Edward alishauri vizuri sana na ingelipa vizuri sana.

Edward alipendekeza Henderson Milner Keita na Ox wandoshwe na selection zake mbili ilikuwa Enzo Fernandez na Bruno Guimares, Klopp said NO rather i will go with them. FSG opted Edward idea na kuamua kwenda na Klopp hii ni moja ya scenario aliyochukizwa Edward akaamua kuondoka. Edward hakutaka Gomez na Hendo wapewe long contract again Klopp ditched na kushauri FSG wawape long contract, Edward akapigwa tena chini.

Je wewe kama ndio Edward what will you do?? Ni kama upo geresha tu ofisini. Hapo ukumbuke Edward hafanyi hizi selection kwa makadirio kwa kudhania tu, collection and analysis of data, hivyo unaona ugumu wake. Na hapo hawakuwa famous wala timu kubwa kwa hiyo kukusanya data na kuzichakata haikuwa rahisi. Kama wewe ni Edward what will you do??

FSG walipopata taarifa ya kuondoka Klopp ile official ya last week, ndipo jina la kwanza likaja Michael Edward, the dirty they did to him wala hajafikiria mara mbili kuwachomolea.

Ward naona ni yale yale ya Edward, it seems Klopp ana ugumu wa kuamini watu watakaokuwa tofauti na yeye, hata kama data zilionesha anafaa. Ilikuwa rahisi kumuamini mtu aliyekuletea:-

Vvd
Alison
Fabinho
Salah
Konate
Mane
Wijnaldum
Robbo

Bado una doubt na selection zake mbili? Nani angemkata Enzo over Hendo Guimaraes over aged Milner?. See this sesson?? MF reshuffle na tumerudi kwenye peak immediately (package surprise).

Kuna muda FSG wanalaumiwa ila ukikumbuka hii scenario unaona hell No Klopp alihusika pia na ile downfall ya 2020/2021 na ile ya 2022/2023.

Haya ndio tuliofanikiwa kuyapata, je hayo mengine ya ndani??

YNWA
 
Apambane tu aweze
Uzuri ana wenzie wazuri wa kujifunza,
Yupo jota mtu mbad,,aendelee kummotivate dogo.


Akianza kufunga ntakuwa shabiki wake.
Kidogo kidogo anakuja,

Eehe naona unampigia kampeni Gerrard tumpe timu, huogopi ataturudisha matopeni tulikotoka miaka ya nyuma? 😂
 
Dogo ni anacheza haswa
Screenshot_20240201-000945.png
 
Back
Top Bottom