Ina maana ishu ya kuingilia majukumu ya Ward na Edwards ilikua ni Klopp kumbe maana iweje anaodoka na hapo hapo ofa ya kumrejesha huyu mwamba imeanza...
YNWA
Naam. Edward alishauri vizuri sana na ingelipa vizuri sana.
Edward alipendekeza Henderson Milner Keita na Ox wandoshwe na selection zake mbili ilikuwa Enzo Fernandez na Bruno Guimares, Klopp said NO rather i will go with them. FSG opted Edward idea na kuamua kwenda na Klopp hii ni moja ya scenario aliyochukizwa Edward akaamua kuondoka. Edward hakutaka Gomez na Hendo wapewe long contract again Klopp ditched na kushauri FSG wawape long contract, Edward akapigwa tena chini.
Je wewe kama ndio Edward what will you do?? Ni kama upo geresha tu ofisini. Hapo ukumbuke Edward hafanyi hizi selection kwa makadirio kwa kudhania tu, collection and analysis of data, hivyo unaona ugumu wake. Na hapo hawakuwa famous wala timu kubwa kwa hiyo kukusanya data na kuzichakata haikuwa rahisi. Kama wewe ni Edward what will you do??
FSG walipopata taarifa ya kuondoka Klopp ile official ya last week, ndipo jina la kwanza likaja Michael Edward, the dirty they did to him wala hajafikiria mara mbili kuwachomolea.
Ward naona ni yale yale ya Edward, it seems Klopp ana ugumu wa kuamini watu watakaokuwa tofauti na yeye, hata kama data zilionesha anafaa. Ilikuwa rahisi kumuamini mtu aliyekuletea:-
Vvd
Alison
Fabinho
Salah
Konate
Mane
Wijnaldum
Robbo
Bado una doubt na selection zake mbili? Nani angemkata Enzo over Hendo Guimaraes over aged Milner?. See this sesson?? MF reshuffle na tumerudi kwenye peak immediately (package surprise).
Kuna muda FSG wanalaumiwa ila ukikumbuka hii scenario unaona hell No Klopp alihusika pia na ile downfall ya 2020/2021 na ile ya 2022/2023.
Haya ndio tuliofanikiwa kuyapata, je hayo mengine ya ndani??
YNWA