Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nina Imani na Steven Gerrard

Halafu ujue maisha ya maajabu sana kwenye macho haya ya nyama,

Ukute Gerrard anapaswa kuwa kocha wa Liverpool huko kusikoonekana ndipo Liverpool mwingereza ang’ae lkn kwa kuwa tupo kwenye macho haya haya.

Gerrard bado hajajitosheleza kuwa Kocha wa klabu kama LFC.

Atleast angesumbua na Villa kipindi kile kidogo angefikiriwa,.
 
Teh teh teh teh teh teh! Huyu bado sana. Labda kwa kuwa ni kijana wa hapo.

Tunatofautiana mtazamo, ila hata wale kops pale Anfield hakuna aliyependekeza jina lake. Yes he is a true scouser lakini haimfanye apewe timu.

Henry alipewa Monaco he had taken him less than three months to be fired.

Kwa utafiti usio rasmi makocha wengi waliokuwa viungo au mabeki wengi wana historia ya kuwa makocha wazuri ila kwa waingereza mambo ni tofuati.

Lampard tumejionea Chelsea

Gerrard tumejionea Villa

Neville na Valencia yake ilibidi arudi Sky Sport fasta mana alichokifanya huko tulikiona,

Rooney huyu, aliishusha Derby Count Championship to league one( walikatwa 21 points). Akatoka hapo akaenda Birmingham City hapo akaitoa team kutoka 6 mpaka ya 20.
15 games under Rooney, won 2 drawn 4 lost 9, 15 goals scored, 30 conceded.

Kidoooogo Carrick anajitahidi na Middlesbrough yake ya huko Championship . Amefika semi final carabao, 1st aliifunga Chelsea 2nd wakapigwa kipigo cha mbwa koko 6-1 yupo wa 11 Championship. Aliwatoa nafasi ya 17 mpaka ya nne last season alipoajiriwa 25/10/2022.

Managerial Career is not their fortune.
 
Halafu ujue maisha ya maajabu sana kwenye macho haya ya nyama,

Ukute Gerrard anapaswa kuwa kocha wa Liverpool huko kusikoonekana ndipo Liverpool mwingereza ang’ae lkn kwa kuwa tupo kwenye macho haya haya.

Gerrard bado hajajitosheleza kuwa Kocha wa klabu kama LFC.

Atleast angesumbua na Villa kipindi kile kidogo angefikiriwa,.
Anaweza
Msikariri mambo
 
Wazalendo tuna imani na Gerrard
Huyo Pep Lijnder sijui ligend hata sura ya ukocha hana kabisa, Klopp asituponze.
🤣 🤣 🤣 Una hamu ya kua laughing stock JF wewe... Kazi ya kuinoa Liverpool sio ya kupata mwalimu kwa kufuata hisia aisee... Gerrard is good yes but not good enough kua gaffer wa Liverpool atasubiri sana...

Kaajiriwa kama PR stunt ya waarabu na sio kwa kigezo cha ubora...

YNWA
 
Hivi hawajamuona Gerrard alivyoiporomosha VILLA? Hii nguvu ya kumpigia kampeni Gerrard wanaipata wapi? Huko uarabuni tu pamemshinda ndio iwe team yenye mapresha kama Liverpool.

Aaaah bana, tuwe serious kidogo. Nilichojionea kwa Villa hapana aisee Gerrard bado sana kuwa kocha kwa timu kama Liverpool.
Uridhi wa kazi ya Klopp umewakuta wengi off guard yaan hata kwenye kamali bookmakers hakua na hata pointi moja ya aidha kuachia au kufukuzwa kazi ujue yaan hii kama mvua za dar aisee imekuja bila formula ni pa pa pa kilio..

Uzuri wa Liverpool hua taarifa nyeti zinalindwa sana kuvuja wenyewe wanaita doing things Liverpool way na pale zinavuja asilimia kubwa hua ni FSG kupima upepo kwa spin mambo hapa na pale hivyo na hii ya Klopp tuwe na subira wamekaa nayo miezi kadhaa bila kuvujisha mpaka pale Klopp alivyotoa shock of the century news kwamba hatunae msimu wa 2024 2025...
Nina imani kama sio hisia zitatumika tupate Mwalimu wa kuedeleza tulipofikia na sio kurudi nyuma...

Tayari chokochoko zimeanza eti VVD anadai hajui kama atakuwepo baada ya Klopp kusepa mpaka pale atapata kujua mwelekeo wa klabu chini ya kocha mpya... Yaani hii kauli ya hovyo kabisa kutoka kwa Kapteni kwa upande mmoja na ni kauli safi kabisa upande mwingine kwamba FSG wakileta kocha ili mradi kocha wajue VVD, Salah, Allison ambao ni A list pale klabuni hawapo tenaaaaaa...
Ndio kumekucha ni miezi mitatu hapo mbele ya mchakamchaka...

Tetesi Klopp alipewa double ua money deal na Gordon abakie akasema its not about money haha huyu ndio Klopp ninaemjua mie.

YNWA
 
Screenshot_20240130_110748.jpg

🔥 🔥 🔥 What's a gaffer . With an empty 'check' book and the numbers are crazy...

YNWA
 
Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) .......

Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) Norwich kafa Anfield ✔️
6) ........
 
🤣 🤣 🤣 Una hamu ya kua laughing stock JF wewe... Kazi ya kuinoa Liverpool sio ya kupata mwalimu kwa kufuata hisia aisee... Gerrard is good yes but not good enough kua gaffer wa Liverpool atasubiri sana...

Kaajiriwa kama PR stunt ya waarabu na sio kwa kigezo cha ubora...

YNWA
Kazeni tu vichwa
Gerrard anatua Anfield
 
Uridhi wa kazi ya Klopp umewakuta wengi off guard yaan hata kwenye kamali bookmakers hakua na hata pointi moja ya aidha kuachia au kufukuzwa kazi ujue yaan hii kama mvua za dar aisee imekuja bila formula ni pa pa pa kilio..

Uzuri wa Liverpool hua taarifa nyeti zinalindwa sana kuvuja wenyewe wanaita doing things Liverpool way na pale zinavuja asilimia kubwa hua ni FSG kupima upepo kwa spin mambo hapa na pale hivyo na hii ya Klopp tuwe na subira wamekaa nayo miezi kadhaa bila kuvujisha mpaka pale Klopp alivyotoa shock of the century news kwamba hatunae msimu wa 2024 2025...
Nina imani kama sio hisia zitatumika tupate Mwalimu wa kuedeleza tulipofikia na sio kurudi nyuma...

Tayari chokochoko zimeanza eti VVD anadai hajui kama atakuwepo baada ya Klopp kusepa mpaka pale atapata kujua mwelekeo wa klabu chini ya kocha mpya... Yaani hii kauli ya hovyo kabisa kutoka kwa Kapteni kwa upande mmoja na ni kauli safi kabisa upande mwingine kwamba FSG wakileta kocha ili mradi kocha wajue VVD, Salah, Allison ambao ni A list pale klabuni hawapo tenaaaaaa...
Ndio kumekucha ni miezi mitatu hapo mbele ya mchakamchaka...

Tetesi Klopp alipewa double ua money deal na Gordon abakie akasema its not about money haha huyu ndio Klopp ninaemjua mie.

YNWA

Hahaha That is Klopp mwamba wa kijerumani. Jamaa huwa ana msimamo bila kujali utamlipa au utampa hasara.

Kwa kiasi chake FSG hii taarifa imewala kichwa balaa thye didnt expect kwamaba atabaki na msimamo wa kuondoka. Anyway thats football and life at all we will move on regardless on how (positive or negative).

Ishu ya vvd naona mashambulizi yameanza ili kuteteresha kambi, i don think kama VVD amesema hayo, his last interview alisema we are focusing to archive our targeted goals this season. Ukweli taarifa iliwaumiza lkn haiwazui kupigania malengo ya timu ya msimu.

Kwa sasa ndio kipindi zinatavumishwa kila taarifa, utasikia timu kuwekwa sokoni, Salah, VVD watahusishwa kuondoka. Ni wakati wa kuchagua kupanic kwa gossip hizi, au uwe na subira kuona zikitokea ili kujipunguzia stress.

Bado tutakaa kwenye ramani, my shortlist ya makocha ambao probability kubwa wanaweza kutuweka kwenye ubora maana kocha mpya ni probability.

Alonso:
De Zerbi:
El Cholo:
Lijnders:
 
West Ham’s,Tim Steidten is in the race to become Liverpool Sporting Director. The German appointed Xabi Alonso at Bayer Leverkusen.

Steidten recruited Alonso to Leverkusen, but besides that;

Wirtz to Leverkusen
De Bruyne to Werder Bremen
Kudus to West Ham

Those are only the most notable. He’s got a good repertoire.

[emoji41][emoji41][emoji41]

Naona FSG wamekubali falsafa za kijerumani.
 
Back
Top Bottom