Captain Marvelous unamuonaje Moyes,, tulibebe hata hili zee litatufaa.
Dah Edward katukataa mazima,sijui hata walimfanyia nn hawa fsg?
.Dah Edward katukataa mazima,sijui hata walimfanyia nn hawa fsg?
AmechomoaAny news kumhusu. Maana niliyonayo ni FSG wanajaribu kuongea nae japo binafsi naona itakuwa ngumu. Edward and Graham have established their analytical company.
Amechomoa
De Zerbi Hapana aisee too early kumpa this kind of job mapema hivi...Hahaha That is Klopp mwamba wa kijerumani. Jamaa huwa ana msimamo bila kujali utamlipa au utampa hasara.
Kwa kiasi chake FSG hii taarifa imewala kichwa balaa thye didnt expect kwamaba atabaki na msimamo wa kuondoka. Anyway thats football and life at all we will move on regardless on how (positive or negative).
Ishu ya vvd naona mashambulizi yameanza ili kuteteresha kambi, i don think kama VVD amesema hayo, his last interview alisema we are focusing to archive our targeted goals this season. Ukweli taarifa iliwaumiza lkn haiwazui kupigania malengo ya timu ya msimu.
Kwa sasa ndio kipindi zinatavumishwa kila taarifa, utasikia timu kuwekwa sokoni, Salah, VVD watahusishwa kuondoka. Ni wakati wa kuchagua kupanic kwa gossip hizi, au uwe na subira kuona zikitokea ili kujipunguzia stress.
Bado tutakaa kwenye ramani, my shortlist ya makocha ambao probability kubwa wanaweza kutuweka kwenye ubora maana kocha mpya ni probability.
Alonso:
De Zerbi:
El Cholo:
Lijnders:

De Zerbi Hapana aisee too early kumpa this kind of job mapema hivi...
Alonso pia we are gambling but at least he has Liverpool way in him na pia ni fan favourites plus wanasema wengi Alonso ni Pep + Klopp hivyo anatufaa.
YNWA
Nao wasianze kututisha aiseeVvd na Salah watasubiri kocha mpya atakayekuja na kuzungumza na wachezaji kujua mipango yake iko vipi VISSION & MISSION kabla hawajaongeza mkataba
Akwende
De Zerbi Hapana aisee too early kumpa this kind of job mapema hivi...
Alonso pia we are gambling but at least he has Liverpool way in him na pia ni fan favourites plus wanasema wengi Alonso ni Pep + Klopp hivyo anatufaa.
YNWA
Gerrard hana uwezo wa kuwa hata Kocha wa KMC ya pale Kinondoni.
FSG si wajinga mpaka wampe Timu Gerrard.
View attachment 2888860
Kati ya hawa πmmoja wapo ndiyo atakuwa Kocha wa Liverpool FC.
Au tumpe Kelleher πππNikiangalia mbele nyuma
Kushoto kulia namuona Gerrard.
Gerrard apewe timu.
Ina maana ishu ya kuingilia majukumu ya Ward na Edwards ilikua ni Klopp kumbe maana iweje anaodoka na hapo hapo ofa ya kumrejesha huyu mwamba imeanza...