Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attachments

  • Screenshot_20240130_213041_Instagram.jpg
    Screenshot_20240130_213041_Instagram.jpg
    101.8 KB · Views: 7
Amechomoa

Je wewe ungekubali?? Alionekana hajui alifanyalo wakamsikiliza Klopp over him na imetugharimu sana.

He is right for sure, kwa waliyomfanyia. FSG wajue mambo ya miujiza hayafanikiwi nyakati zote ukiona muda huu umefanikiwa basi ujue ulikuwa na bahati ongeza juhudi zaidi bahati ikurudie tena na tena.
 
Hahaha That is Klopp mwamba wa kijerumani. Jamaa huwa ana msimamo bila kujali utamlipa au utampa hasara.

Kwa kiasi chake FSG hii taarifa imewala kichwa balaa thye didnt expect kwamaba atabaki na msimamo wa kuondoka. Anyway thats football and life at all we will move on regardless on how (positive or negative).

Ishu ya vvd naona mashambulizi yameanza ili kuteteresha kambi, i don think kama VVD amesema hayo, his last interview alisema we are focusing to archive our targeted goals this season. Ukweli taarifa iliwaumiza lkn haiwazui kupigania malengo ya timu ya msimu.

Kwa sasa ndio kipindi zinatavumishwa kila taarifa, utasikia timu kuwekwa sokoni, Salah, VVD watahusishwa kuondoka. Ni wakati wa kuchagua kupanic kwa gossip hizi, au uwe na subira kuona zikitokea ili kujipunguzia stress.

Bado tutakaa kwenye ramani, my shortlist ya makocha ambao probability kubwa wanaweza kutuweka kwenye ubora maana kocha mpya ni probability.

Alonso:
De Zerbi:
El Cholo:
Lijnders:
De Zerbi Hapana aisee too early kumpa this kind of job mapema hivi...

Alonso pia we are gambling but at least he has Liverpool way in him na pia ni fan favourites plus wanasema wengi Alonso ni Pep + Klopp hivyo anatufaa.

YNWA
 
Same confidently i will choose Alonso, huyu De Zerbi jamaa ni hatari sana flow ya mpira wake aisee ni tamu mno.

Build yake Pep mwenyewe anaikubali sana anakuambia jamaa ni mkali sana kwenye hiyo ya build up. Namna anavyoanzia kutoka golini unashangaa.
 
Gerrard ni Liverpool nje ndani

Back
Top Bottom