Poleni kwa kipigo mkuu.Hata aje nani kurudi matopeni ni jambo la muda tu
Three points muhimu kituo kinachofuata Emirates
Trent aende kwenye midfield. Bradley ameweza as a FB/WB.View attachment 2890322
Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley 🤣
YNWA
I will never walk alone❤️I second you madam.
Kapige mswakiHata aje nani kurudi matopeni ni jambo la muda tu
TAA amtoe Nani pale CMHUYO HAPO DANI ALVES .! ( Amewa cook MIGOS )
[emoji1593]Hii kwa Liverpool ndio huwa tunaita " vurugu yenye muundo " a controlled chaos , jinsi wanavyocheza Liverpool hawapotezi muda na mpira kupiga pasi zaidi ( extra passes ) bali wanaangalia space ilipo na kuachia pasi ya mbele haraka sana , ngumu sana kukabiliana nayo
[emoji1593]Liverpool walikuwa wanabadilisha muundo wanapokuwa na mpira kutokana na jinsi wanavyokuwa wanazuia bila mpira
1: Kuna nyakati wanakuwa 3-2-2-3 endapo Chelsea watazuia kwa 4-4-2 , na 2-3-5 endapo Chelsea wakizuia kwa 4-5-1
2: Msingi wa muundo huu ni Bradley : Kivipi ? Yeye ndio alikuwa anasogea juu zaidi kama winga kumruhusu Jota kutoka kulia na kuingia ndani kutengeneza namba 10 wawili na Jones ( nyuma wanabaki watatu Konate VVD na Gomez ) mbele yao Szobo na Mac Allister
3: Bila mpira haraka sana Liverpool wanafanya pressinf kwa 4-1-4-1 : Maca anabaki kwenye namba 6 peke yake : Dhumuni kubwa ni kuwanyima uhuru Caicedo na Enzo kupokea mali na kufunga njia ya pasi kwa Palmer , Gallagher na Sterling
[emoji1593]Baada ya hapo ilikuwa Liverpool tu wenyewe wanataka kufunga magoli mangapi maana spaces walipata za kutosha , mpira ulitembea kwa haraka sana , movements sahihi zilifanyika , nafasi zilitengenezwa nzuri .
[emoji1593]Pochettino alipoamua kubadilisha mfumo kutoka 4-3-2-1 na kuwa 4-3-3 baada ya kuingia kwa Chukwuemeka na false 9 kuwa Nkunku ndio uliona Chelsea wanafika mbele kwa mipango , kuwafanya Liverpool kuzuia eneo kubwa zaidi la uwanja ( Sterling na Mudryk kuutanua uwanja pembeni ) ili Palmer na Chukwuemeka wapate space ya kuchezesha timu .
NOTE
1: Darwin Nunez na mahaba yake kugongesha mwamba [emoji3]
2: Diogo Jota ni mchezaji ambaye yupo smart sana . Mjanja sana[emoji91]
3: Badiashile ? Disasi ? Chilwell ? Daah [emoji848][emoji848]
4: Petrovic anapunguza sana idadi ya magoli : Good GK [emoji1666]
5: Chelsea nafikiri walipaswa kupata penati angalau moja leo
6: Finishing ya Nkunku : Classy[emoji91]
7: Mac Allister kapiga shilingi sita leo ya kiufundi sana, anatema mate kushoto anafukia kulia .
8: BRADLEY ..! Muda wa TAA kuhamia kwenye kiungo mazima sasa .! Katika mechi 4 alizocheza mpaka sasa amechangia magoli 6 .
FT: Liverpool 4-1 Chelsea
AMBANGILE
Nunez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hivi Nunez ni DM au Foward?
An excellent product in the makingNunez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hivi Nunez ni DM au Foward?
Ingekuwa afcon refa angeshatoa penalty 3HUYO HAPO DANI ALVES .! ( Amewa cook MIGOS )
[emoji1593]Hii kwa Liverpool ndio huwa tunaita " vurugu yenye muundo " a controlled chaos , jinsi wanavyocheza Liverpool hawapotezi muda na mpira kupiga pasi zaidi ( extra passes ) bali wanaangalia space ilipo na kuachia pasi ya mbele haraka sana , ngumu sana kukabiliana nayo
[emoji1593]Liverpool walikuwa wanabadilisha muundo wanapokuwa na mpira kutokana na jinsi wanavyokuwa wanazuia bila mpira
1: Kuna nyakati wanakuwa 3-2-2-3 endapo Chelsea watazuia kwa 4-4-2 , na 2-3-5 endapo Chelsea wakizuia kwa 4-5-1
2: Msingi wa muundo huu ni Bradley : Kivipi ? Yeye ndio alikuwa anasogea juu zaidi kama winga kumruhusu Jota kutoka kulia na kuingia ndani kutengeneza namba 10 wawili na Jones ( nyuma wanabaki watatu Konate VVD na Gomez ) mbele yao Szobo na Mac Allister
3: Bila mpira haraka sana Liverpool wanafanya pressinf kwa 4-1-4-1 : Maca anabaki kwenye namba 6 peke yake : Dhumuni kubwa ni kuwanyima uhuru Caicedo na Enzo kupokea mali na kufunga njia ya pasi kwa Palmer , Gallagher na Sterling
[emoji1593]Baada ya hapo ilikuwa Liverpool tu wenyewe wanataka kufunga magoli mangapi maana spaces walipata za kutosha , mpira ulitembea kwa haraka sana , movements sahihi zilifanyika , nafasi zilitengenezwa nzuri .
[emoji1593]Pochettino alipoamua kubadilisha mfumo kutoka 4-3-2-1 na kuwa 4-3-3 baada ya kuingia kwa Chukwuemeka na false 9 kuwa Nkunku ndio uliona Chelsea wanafika mbele kwa mipango , kuwafanya Liverpool kuzuia eneo kubwa zaidi la uwanja ( Sterling na Mudryk kuutanua uwanja pembeni ) ili Palmer na Chukwuemeka wapate space ya kuchezesha timu .
NOTE
1: Darwin Nunez na mahaba yake kugongesha mwamba [emoji3]
2: Diogo Jota ni mchezaji ambaye yupo smart sana . Mjanja sana[emoji91]
3: Badiashile ? Disasi ? Chilwell ? Daah [emoji848][emoji848]
4: Petrovic anapunguza sana idadi ya magoli : Good GK [emoji1666]
5: Chelsea nafikiri walipaswa kupata penati angalau moja leo
6: Finishing ya Nkunku : Classy[emoji91]
7: Mac Allister kapiga shilingi sita leo ya kiufundi sana, anatema mate kushoto anafukia kulia .
8: BRADLEY ..! Muda wa TAA kuhamia kwenye kiungo mazima sasa .! Katika mechi 4 alizocheza mpaka sasa amechangia magoli 6 .
FT: Liverpool 4-1 Chelsea
AMBANGILE
Kazi ya RB ni kuzuia tusifungwe haya mengine ya kutoa assist au kufunga hua ni bashishi tu na tangu huyu dogo apewe dakika RB sijaona alipo haribu kuzuia hakika anahitajidi sana.. Hili la kutoa assist hua ni mzuri pia na kufunga pia akiwa mkopo Bolton last season alikua na goli 5 na assist na sasa misimu huu Liverpool tangu apate dakika ana assist 3 na goli 1...TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywa
yaan TAA anapasha dogo Bradley anampiga bonge moja la assist kwa Diaz kama ni kocha mwingine unaweza kuona aibu kumtoa unamwambia TAA arud kwanza kwenye bench
On a serious note though Trent anatakiwa Sasa apambanie kombe kwenye hiyo nafasi ya kiungo maana kwa kukaba huyu dogo Yuko vizur kuliko you so nahisi coach ni rahisi kumpanga dogo badala yake
Waarabu walete tu ofa au namna gani.. Ela yake imlete Mbappe na Zizou mazimaaaa.We are still playing better football without Salah. More goals and points in the bag
Waiting for the Return of Pharao and Samurai
YNWA.