Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Mkuu zimebaki ngapi? au zimeisha?Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇
1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) Norwich kafa Anfield ✔️
6) Chelsea kafa 4 Anfield ✔️