Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Miss Liverpool atakupinga balaa kuondoka kwa Salah hataki hata kusikia.

Sema nini Lijnder mpira anaujua ndio maana Klopp anamuita brainer View attachment 2890612

Jurgen Klopp on Conor Bradley:

“For three years, Pep Lijnders has been in my ear [about Bradley].” #LFC

Hii alifanya kwa Trent pia.
🤣 🤣 🤣 🤣 MosDef unasema aje timu apewe Pep Lijnders ama mazima kwa kocha wa Sporting Lisbon au wa Benfica Ureno au Alonso.

Nina imani na Bradley ana instinct za kua beki bora endapo hatakua overloaded kama Bajcetic yaliyomkuta

YNWA
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] MosDef unasema aje timu apewe Pep Lijnders ama mazima kwa kocha wa Sporting Lisbon au wa Benfica Ureno au Alonso.

Nina imani na Bradley ana instinct za kua beki bora endapo hatakua overloaded kama Bajcetic yaliyomkuta

YNWA

Lijnders for Klopp successor [emoji81][emoji81]

Bradley Game ya Arsenal muhimu sana… itamuongezea kujiamini TAA na Robbo hawajapa rhythm nzuri especially Robbo.

Dakika chache wakipata watakuwa sawa na kurudi tulipowazoea
 
Si uliona alivyoichonga Ile Penati ya final carabao sijui FA dhidi ya Chelsii
Kelleher mwamba na nusu,akatikisa nyavu wakati Kepa akipaishia mpira uvuke darajani Stanford [emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]

25/2/2024 tutamaliza dakika tisi ama watufunge au tuwafunge
 
Mtoe fabinho hapo
Kwenye mpira tunaamini, kila mbinu na mifumo yote ni sahihi. Kinachokosekana ni wachezaji sahihi wa kuziishi mbinu zako.

Kwa mfumo huu wa Klopp na mbinu hizi hizi, kmtungekuwa na Hendo, Milner, Fabinho yangekuwa ya msimu jana tu, akili inataka mwili unaikataa akili…

Mf. Jana MF mpya iliyoanza ni wawili tu ambao msimu jana hatukuwa nao Macca & Szobozslai ila changes ni kubwa sana iliyoonekana. Kikosi kilichoanza jana ni wachezaji wawili tu ndio hawakuwa ndani ya timu the rest tulikuwa nao, labda na Bradley hakuwa senior team na loan life.

Kwa hiyo unaona summer ya 2022/2023 tungemuondoa

Milner
Keita
Ox
Na tukanunua two MFs tungepata rythym nzuri tu…
Kuna stage mpira unahitaji mtu mmoja au watu wawili kubadili upepo wa team.
 
No! Haupo sahihi.
Timu kucheza vizuri au kucheza vibaya ni vipindi tu huwa vinatokea.

Nakumbuka kama miaka 3 iliyopita ilikuwa tukitoka Winter break ndiyo tunapopoteana.

Lakini marahii imekuwa tofauti lakini sio kwa sababu amekosekana sana.

Hata Coutinho alitubeba sana lakini alipoondoka Timu haikucheza vibaya bali ndiyo tukabeba Ubingwa! Je hii ilikuwa na maana alipoondoka Coutinho ndiyo Timu imecheza vizuri?

So, na kwa Salah ni same na Coutinho ametubeba sana kwenye huu msimu wakati kila mmoja akiwa amepotea, hivyo kuwa kwneye form kwa baadhi ya Wachezaji isiwe sababu ya kubeza uwezo wa Salah.

Salah ni nguzo muhimu kwenye Timu kwasababu pale kila mmoja anapopatea yeye ndiyo husimama.
Nsichopenda Tim inapotea akiwemo ili atubebe tu ila mara chache alizokosekana Tim inakua Bora Sanaa na magoli yanaongezeka pia
 
Consistency ni kitu muhimu kuliko hizi form ambazo mara nyingi huwa ni temporary.

TAA ana Class but Bradley yuko na best form.

So, Bradley asipokuwa na consistency basi TAA ataendelea kucheza kila game.
Kuna vilivyo wazi kuvitetea ni ngumu dogo mechi yangapi hii anafanya vyema? Je akipotea mechi Moja utasema hafai?

Klopp anafikla hizi ndomana madogo hawakui pale ni kuuzwa tu

Musialosky huenda akaondoka msimu ujao
 
Hongereni sana majogoo jana mlituadhibu ipasavyo. Nilitamani magoli yaongezeke zaidi.

Nimetokea kumkataa poch toka atue pale hana jipya. Kazi kuua vipaji tu na kujaribu kuwachezesha sehemu ambayo siyo zao.

Mechi ijayo tena tupigwe hata sita ivi arsenal pia aje atutandike kweli kweli.
 
Mpe muda bhana ajenge tu
 
LADDER49...png
 
Back
Top Bottom