Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I will never walk alone❤️
Afadhali Nimepata supporter 😂

Watu wanamdharau sana Gerrard humu.
🤣 🤣 🤣 Bado sana Gerrard labda nyuma yake apewe data analyst wa nguvu sana kama Graham na FD awe Edward au Ward ili asituletee akina Milner, Chambers, Lallana, Henderson hapa Liverpool....

YNWA
 
Kutokuwepo kwa Mo Salah hakuonyeshi kama Kuna pengo binafsi naona timu Ina flow vyema zaidi kuliko akiwepo dimbani
Sometimes star akiwepo hua kunakutegemea miujiza fulani kutoka kwake hasa pale inaelemewa na ubao unasema 0 0 au 1 1...
Kwa sasa hakuna wa kumtegemea atuvushe hivyo team ina balance vyema sana...
Klopp kuchanganya damu changa na ma senior imeleta ari mpya sana uwanjani, tazama tukipoteza mpira unavyosakwa aisee hii kitu last season haikuwepo kabisa lakin sasa ipo na ndio nguzo kuu kwetu kwa kua tunajua pale kati na nyuma sio salama hivyo imekua ni Collective responsibility kwa kila mchezaji kuhakikisha mpira ukiwa na mpinzani usivuke kati kwenda kushambuliwa.

YNWA
 
Hawa wakulungwa ingependeza tuende half time tushawanyuka 3. Tumekosa penalty aisee...


Haya ma Chel-Sick si ya kuyaonea huruma...
Babu salama. Chelsea kwa kweli wapo njia panda kwa sasa waedelee na wachezaji wao wa mabilioni huku Klopp akiopoa vijana academy na kufanya kazi murwa sanaa....
Huyu Bradley na Jones kwa sasa wakija Chelsea wanatoa karibu 70m aisee...

Tukutane tena Wembley siku 23 zijazo fainali ya Carabao na kama watacheza kama jana basi kipigo kinawasubiri tena.

In the meantime Arsenal hodi hodi... Wembe ni ule ule kucheza kama unit.

YNWA
 

Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) Norwich kafa Anfield ✔️
6) Chelsea kafa 4 Anfield ✔️
 
🤣 🤣 🤣 Mambo yanakwenda kasi sana namna hii Klopp atapiga abautani na kusema ameghairi kusepa design kama Fergie 2012...

YNWA
 
Kutokuwepo kwa Mo Salah hakuonyeshi kama Kuna pengo binafsi naona timu Ina flow vyema zaidi kuliko akiwepo dimbani
Haya maneno tulisha yasemaga tukanyoshewa vidole maranyingi alizokosekana Salah tilicheza vyema Sanaa na ushindi mnono.

Huyu Nunez aombe Salah aondoke mana anamhofu Tim ni yasala Nunez asubili kwanza
 
Huyo alishajiona ndo kilakitu kwenye hii tim anafosi ahamishwe namba natumai huu ndo wakati muafaka wakugombania namba hapo kati.

Klopp alivo kauzu anaeza muweka dogo bechi bila kujali uwezo wake ili asimuuzi taa
 
Arsenal tunawasubiri kwa hamu Emirate, Mkapange tena kale Katoto kule kulia kaone show. Huwa tunamuhofia Salah tu.

Chelsea hawaeleweki walikua wanacheza mfumo gani. Hata kupiga pasi 3 shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…