Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hakika Klopp sasa ampe hio ndoto yake ya MF maana ni muda sana anapataka...Trent aende kwenye midfield. Bradley ameweza as a FB/WB.
Kwa hio MF iwe Dommy, Mac, Trent?
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Klopp sasa ampe hio ndoto yake ya MF maana ni muda sana anapataka...Trent aende kwenye midfield. Bradley ameweza as a FB/WB.
Penati hua hazina mwenyewe hata the Great Harry Kane hua anapaisha.Hee
Nunez alipewa penati?
Ama kweli watu wanachezea shillingi kwenye tundu la choo.
Mpiga penati alikuwa Fabinho pekeyake na Babu Milner.
Wengine waliobaki ni wababaishaji wa penati.
Atakua ameangalia video za Firmino huyu dogo...An excellent product in the making
His role pale mbele ni immense
🤣 🤣 🤣 Bado sana Gerrard labda nyuma yake apewe data analyst wa nguvu sana kama Graham na FD awe Edward au Ward ili asituletee akina Milner, Chambers, Lallana, Henderson hapa Liverpool....I will never walk alone❤️
Afadhali Nimepata supporter 😂
Watu wanamdharau sana Gerrard humu.
Yupo kwenye laiti track kabisa huyu dogo.. Klopp kambakisha mpaka filimbi ya mwisho... Kitendo cha kupewa penati ni ishara tosha dogo anaeleweka vyema klabuni, huku keyboard fans kazi ipo.Nunez inawezekana Mungu hajampangia kuwa striker angejaribu kuwa hata beki ama kiungo mkabaji tu.
Sometimes star akiwepo hua kunakutegemea miujiza fulani kutoka kwake hasa pale inaelemewa na ubao unasema 0 0 au 1 1...Kutokuwepo kwa Mo Salah hakuonyeshi kama Kuna pengo binafsi naona timu Ina flow vyema zaidi kuliko akiwepo dimbani
Multifunctional 😎😎😎😎Nunez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hivi Nunez ni DM au Foward?
Babu salama. Chelsea kwa kweli wapo njia panda kwa sasa waedelee na wachezaji wao wa mabilioni huku Klopp akiopoa vijana academy na kufanya kazi murwa sanaa....Hawa wakulungwa ingependeza tuende half time tushawanyuka 3. Tumekosa penalty aisee...
Haya ma Chel-Sick si ya kuyaonea huruma...
Or light truck 😂Atakua ameangalia video za Firmino huyu dogo...
Yupo kwenye laiti traki.
YNWA
Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇
1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) Norwich kafa Anfield ✔️
6) ........
🤣 🤣 🤣 Mambo yanakwenda kasi sana namna hii Klopp atapiga abautani na kusema ameghairi kusepa design kama Fergie 2012...Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇
1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) Fulham sare kwake 🤝
5) Norwich kafa Anfield ✔️
6) Chelsea kafa 4 Anfield ✔️
Kutokuwepo kwa Mo Salah hakuonyeshi kama Kuna pengo binafsi naona timu Ina flow vyema zaidi kuliko akiwepo dimbani
🤣 🤣 Kazi kazi dogo agonge mwamba yeye yumoo tu.Or light truck 😂
Haya maneno tulisha yasemaga tukanyoshewa vidole maranyingi alizokosekana Salah tilicheza vyema Sanaa na ushindi mnono.Kutokuwepo kwa Mo Salah hakuonyeshi kama Kuna pengo binafsi naona timu Ina flow vyema zaidi kuliko akiwepo dimbani
Itakua anamuogopa Salah mbona juzi kazifumania akiwa hayupo kurudi tu anakosa mpaka penatiSure. Suala la muda tu. Atleast he is registering shot on goals
Ule upaja kwa Nkuku si mchezo...Kituu
Arsenal tunawasubiri kwa hamu Emirate, Mkapange tena kale Katoto kule kulia kaone show. Huwa tunamuhofia Salah tu.Babu salama. Chelsea kwa kweli wapo njia panda kwa sasa waedelee na wachezaji wao wa mabilioni huku Klopp akiopoa vijana academy na kufanya kazi murwa sanaa....
Huyu Bradley na Jones kwa sasa wakija Chelsea wanatoa karibu 70m aisee...
Tukutane tena Wembley siku 23 zijazo fainali ya Carabao na kama watacheza kama jana basi kipigo kinawasubiri tena.
In the meantime Arsenal hodi hodi... Wembe ni ule ule kucheza kama unit.
YNWA