Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hee
Nunez alipewa penati?

Ama kweli watu wanachezea shillingi kwenye tundu la choo.


Mpiga penati alikuwa Fabinho pekeyake na Babu Milner.

Wengine waliobaki ni wababaishaji wa penati.

Nunez amepiga penalty 13 kapata 12 amekosa 1 (ya jana) are you there??
Fabinho 23 kakosa 1.

Conversion rate inalinga.

Shkamoo.🫱[emoji2532]‍🫲[emoji2534]
 
Kumbe tumeyapiga haya kenge 4 na hamsemi[emoji1787]
Ngoja niamke nikacheck mechi


Makenge ni timu ya kutupwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jota as usual.
Huyu mtoto Bradley ntaanza kumzingatia.


Babe wangu jana alianza benchi jamani

Babe wako kazini kwake kuna kazi.
 
Waarabu walete tu ofa au namna gani.. Ela yake imlete Mbappe na Zizou mazimaaaa.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Heloo miss Liverpool unasema aje.

YNWA

Miss Liverpool atakupinga balaa kuondoka kwa Salah hataki hata kusikia.

Sema nini Lijnder mpira anaujua ndio maana Klopp anamuita brainer

Jurgen Klopp on Conor Bradley:

“For three years, Pep Lijnders has been in my ear [about Bradley].” #LFC

Hii alifanya kwa Trent pia.
 
Hakika Klopp sasa ampe hio ndoto yake ya MF maana ni muda sana anapataka...
Kwa hio MF iwe Dommy, Mac, Trent?

YNWA

What about Jones performance ? How it will be the return of Samurai? Ndio maana Klopp hatakagi kikosi kipana chenye quality ni stressful kama utapata wachezaji wenye ego.

Kuna unataman mchezaji awe injury, Quality ya Taa & Jones kukaa bench ni matusi, anakuja Bradley kukiwasha hivi unaanzaje kumuweka bench?? RB anayekupa quality ya RB both defensively and offensively??

I’m Klopp i will go with the same Line up vs Arsenal
 
Kweli kocha anapata headache asee. Ila cha muhimu ni rotation tu kila mchezaji apate game time.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bado sana Gerrard labda nyuma yake apewe data analyst wa nguvu sana kama Graham na FD awe Edward au Ward ili asituletee akina Milner, Chambers, Lallana, Henderson hapa Liverpool....

YNWA

[emoji81][emoji81] na Nyuma yake kushoto kwake apate mtu kama Lijnder, apate udhibiti kila kona, maana waingereza wana akili zao tofauti

Waingereza huwasikii wakiwa na makocha wazuri, sporting directors wazuri ma CEO wazuri, labda mtu anisahihishe kwa Sporting director and CEO’s wa kiingereza
 

Kwenye mpira tunaamini, kila mbinu na mifumo yote ni sahihi. Kinachokosekana ni wachezaji sahihi wa kuziishi mbinu zako.

Kwa mfumo huu wa Klopp na mbinu hizi hizi, kmtungekuwa na Hendo, Milner, Fabinho yangekuwa ya msimu jana tu, akili inataka mwili unaikataa akili…

Mf. Jana MF mpya iliyoanza ni wawili tu ambao msimu jana hatukuwa nao Macca & Szobozslai ila changes ni kubwa sana iliyoonekana. Kikosi kilichoanza jana ni wachezaji wawili tu ndio hawakuwa ndani ya timu the rest tulikuwa nao, labda na Bradley hakuwa senior team na loan life.

Kwa hiyo unaona summer ya 2022/2023 tungemuondoa

Milner
Keita
Ox
Na tukanunua two MFs tungepata rythym nzuri tu…
Kuna stage mpira unahitaji mtu mmoja au watu wawili kubadili upepo wa team.
 

Sasa watatamani na Salah arudi kupunguza makali.
 
Arsenal tunawasubiri kwa hamu Emirate, Mkapange tena kale Katoto kule kulia kaone show. Huwa tunamuhofia Salah tu.

Chelsea hawaeleweki walikua wanacheza mfumo gani. Hata kupiga pasi 3 shida.

Dah.!!! [emoji17]

Anyway Bila Salah tumewafunga msimu huu Emirate mkiwa full Squad hakuna ukakasi wowote.

Bradley aliingia kutokea sub na akazima makeke yote ya Martinelli, kama mechi uliangalia vizuri au uamue kuweka ushabiki.

Msimu jana mlitufunga na Emirates with Salah on the pitch.

Last Afcon Salah hakuwepo tuliwafunga FA pale kwenu magoli ya Jota.

Anyway tusubiri tuone hiyo mechi.
YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…