Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Au Kelleher apewe penati awe anapiga.. Unasema aje Miss Liverpool.Subiri afike penati 24 urudi kumlinganisha
Hakuna mpiga penati hapo
🤣 🤣 🤣 🤣 MosDef unasema aje timu apewe Pep Lijnders ama mazima kwa kocha wa Sporting Lisbon au wa Benfica Ureno au Alonso.Miss Liverpool atakupinga balaa kuondoka kwa Salah hataki hata kusikia.
Sema nini Lijnder mpira anaujua ndio maana Klopp anamuita brainer View attachment 2890612
Jurgen Klopp on Conor Bradley:
“For three years, Pep Lijnders has been in my ear [about Bradley].” #LFC
Hii alifanya kwa Trent pia.
Si uliona alivyoichonga Ile Penati ya final carabao sijui FA dhidi ya ChelsiiAu Kelleher apewe penati awe anapiga.. Unasema aje Miss Liverpool.
YNWA
Si mnamlazimisha acheze bekiBaby wako yuko offensively sana Sasa huyu Bradley yuko Defensively na Offensively vizuri sana, na hii inamfanta Konate apunguze majukumu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] MosDef unasema aje timu apewe Pep Lijnders ama mazima kwa kocha wa Sporting Lisbon au wa Benfica Ureno au Alonso.
Nina imani na Bradley ana instinct za kua beki bora endapo hatakua overloaded kama Bajcetic yaliyomkuta
YNWA
Si uliona alivyoichonga Ile Penati ya final carabao sijui FA dhidi ya Chelsii
Kelleher mwamba na nusu,akatikisa nyavu wakati Kepa akipaishia mpira uvuke darajani Stanford [emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
25/2/2024 tutamaliza dakika tisi ama watufunge au tuwafunge
Chelsea wamekua wa hovyo sana aiseeBabeq hawa kenge tuliwaweka hadi damu zikavuja masikioni😂😂😂😂
OllaChuga Oc uliwapa machalii bangi mbichi nini,Yanapuyanga tu uwanjani.
Kwenye mpira tunaamini, kila mbinu na mifumo yote ni sahihi. Kinachokosekana ni wachezaji sahihi wa kuziishi mbinu zako.
Kwa mfumo huu wa Klopp na mbinu hizi hizi, kmtungekuwa na Hendo, Milner, Fabinho yangekuwa ya msimu jana tu, akili inataka mwili unaikataa akili…
Mf. Jana MF mpya iliyoanza ni wawili tu ambao msimu jana hatukuwa nao Macca & Szobozslai ila changes ni kubwa sana iliyoonekana. Kikosi kilichoanza jana ni wachezaji wawili tu ndio hawakuwa ndani ya timu the rest tulikuwa nao, labda na Bradley hakuwa senior team na loan life.
Kwa hiyo unaona summer ya 2022/2023 tungemuondoa
Milner
Keita
Ox
Na tukanunua two MFs tungepata rythym nzuri tu…
Kuna stage mpira unahitaji mtu mmoja au watu wawili kubadili upepo wa team.
Kwenye mpira tunaamini, kila mbinu na mifumo yote ni sahihi. Kinachokosekana ni wachezaji sahihi wa kuziishi mbinu zako.
Kwa mfumo huu wa Klopp na mbinu hizi hizi, kmtungekuwa na Hendo, Milner, Fabinho yangekuwa ya msimu jana tu, akili inataka mwili unaikataa akili…
Mf. Jana MF mpya iliyoanza ni wawili tu ambao msimu jana hatukuwa nao Macca & Szobozslai ila changes ni kubwa sana iliyoonekana. Kikosi kilichoanza jana ni wachezaji wawili tu ndio hawakuwa ndani ya timu the rest tulikuwa nao, labda na Bradley hakuwa senior team na loan life.
Kwa hiyo unaona summer ya 2022/2023 tungemuondoa
Milner
Keita
Ox
Na tukanunua two MFs tungepata rythym nzuri tu…
Kuna stage mpira unahitaji mtu mmoja au watu wawili kubadili upepo wa team.
Takataka lile Mungu alituepusha😂Chelsea wamekua wa hovyo sana aisee
Jana tulikua na makeshift kama 5 hivi
ILA kwa Yule dogo wa paundi milioni mia tumekwepa mzoga
Mtoe fabinho hapo
Takataka lile Mungu alituepusha[emoji23]
OllaChuga Oc takataka lenu li ceicido sijui sido,hamna kitu mule[emoji1787]
Tufukuzie hawa wapiga kelele humu, unawezana nao kwa ufanisi
Yule jamaa anakimbia kama amevaa raizoniTakataka lile Mungu alituepusha😂
OllaChuga Oc takataka lenu li ceicido sijui sido,hamna kitu mule🤣
Nsichopenda Tim inapotea akiwemo ili atubebe tu ila mara chache alizokosekana Tim inakua Bora Sanaa na magoli yanaongezeka piaNo! Haupo sahihi.
Timu kucheza vizuri au kucheza vibaya ni vipindi tu huwa vinatokea.
Nakumbuka kama miaka 3 iliyopita ilikuwa tukitoka Winter break ndiyo tunapopoteana.
Lakini marahii imekuwa tofauti lakini sio kwa sababu amekosekana sana.
Hata Coutinho alitubeba sana lakini alipoondoka Timu haikucheza vibaya bali ndiyo tukabeba Ubingwa! Je hii ilikuwa na maana alipoondoka Coutinho ndiyo Timu imecheza vizuri?
So, na kwa Salah ni same na Coutinho ametubeba sana kwenye huu msimu wakati kila mmoja akiwa amepotea, hivyo kuwa kwneye form kwa baadhi ya Wachezaji isiwe sababu ya kubeza uwezo wa Salah.
Salah ni nguzo muhimu kwenye Timu kwasababu pale kila mmoja anapopatea yeye ndiyo husimama.
Kuna vilivyo wazi kuvitetea ni ngumu dogo mechi yangapi hii anafanya vyema? Je akipotea mechi Moja utasema hafai?Consistency ni kitu muhimu kuliko hizi form ambazo mara nyingi huwa ni temporary.
TAA ana Class but Bradley yuko na best form.
So, Bradley asipokuwa na consistency basi TAA ataendelea kucheza kila game.
Mpe muda bhana ajenge tuHongereni sana majogoo jana mlituadhibu ipasavyo. Nilitamani magoli yaongezeke zaidi.
Nimetokea kumkataa poch toka atue pale hana jipya. Kazi kuua vipaji tu na kujaribu kuwachezesha sehemu ambayo siyo zao.
Mechi ijayo tena tupigwe hata sita ivi arsenal pia aje atutandike kweli kweli.