Mpe muda bhana ajenge tu
There is no Consistency without form. Form ndio inazaa consistency na consistency inaanza na form kama Bradley.
Kuna vilivyo wazi kuvitetea ni ngumu dogo mechi yangapi hii anafanya vyema? Je akipotea mechi Moja utasema hafai?
Klopp anafikla hizi ndomana madogo hawakui pale ni kuuzwa tu
Musialosky huenda akaondoka msimu ujao
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Ule mpira ulitua Kyela π Kepa golikipa ghali zaidi hivi na huko Real Madrid sijui kama wana mpanga ama namna gani aisee...Si uliongaa alivyoichonga Ile Penati ya final carabao sijui FA dhidi ya Chelsii
Kelleher mwamba na nusu,akatikisa nyavu wakati Kepa akipaishia mpira uvuke darajani Stanford ππππ
π€£ π€£ π€£ π€£ Hapa kwa Mason tulikoswaswa aisee aliemshauri afuate shavu Manjesta alituokoa parefu sanaa...No,
Form haizai consistency
Class ndiyo huzaa consistency
Unakumbuka form ya SAKA last season pale arsenal? Walifika mpaka kusema ndiye best Winger in the world.
Lakini leo ile Form yake ipo wapi? Kwasababu hakuwa na Class.
Unawakumbuka Ansu Fati, Isco na Asensio?
Ansu Fati alionekana kama ndiye mrithi wa Messi akapewa mpaka Jezi namba 10 lakini yupo wapi?
Isco na Asensio wakaonekana kama ndiyo new Ronaldo pale Madrid lakini waliishia wapi?
Hii yote ni kuwa walikuwa kwenye form tu lakini hawakuwa na class.
Sir Alex Ferguson alishasema kitambo kuwa "Form is temporary by class is permanent".
Form ziliwafanya π
- Dele Alli aonekane Modric
- Tammy Abraham aitwe Drogba
- Gavi aitwe Xavi
- Mason Mount asajiliwe Manchester
- Odoi asiuzwe Bayern kwa Β£40M
Leo hii wachezaji waliokuwa katika form wote wamepotea wamebaki wale waliopo kwenye Class tu.
FORM HAITENGENEZI CONSISTENCY, CLASS NDIYO HUTENGENEZA CONSISTENCY.
Yule jamaa anakimbia kama amevaa raizoni
Ulitua Tukuyu juu ya paa letu la nyasi,ukatoboa paa.π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Ule mpira ulitua Kyela π Kepa golikipa ghali zaidi hivi na huko Real Madrid sijui kama wana mpanga ama namna gani aisee...
Kwa hio unasema fainali ya Carabao kipa awe Kelleher.
Dirisha limefungwo bado tunae Nunez ujue utulie tuuu... Mishe zake kwa sasa anakipiga dakika 90+ππ
YNWA
Mtamuelewa tu hata kwa lazima.Trent ni moja ya wachezaji wachache wenye kupata majeraha ya muda mrefu.
Mechi ya juzi alitimiza michezo 300 at the age of 25.
Great scoucers more to come.
YNWA
Kule juu kuhusu Trent umesema kazi ya RB kuzuia tusifungwe,Multifunctional ππππ
YNWA
π€£ π€£ Kazi kazi dogo agonge mwamba yeye yumoo tu.
Passionate muda wote na mishe hakati tamaa yupo mahala sahihi sana mashabiki wapo nae muda wote.
YNWA
No,
Form haizai consistency
Class ndiyo huzaa consistency
Unakumbuka form ya SAKA last season pale arsenal? Walifika mpaka kusema ndiye best Winger in the world.
Lakini leo ile Form yake ipo wapi? Kwasababu hakuwa na Class.
Unawakumbuka Ansu Fati, Isco na Asensio?
Ansu Fati alionekana kama ndiye mrithi wa Messi akapewa mpaka Jezi namba 10 lakini yupo wapi?
Isco na Asensio wakaonekana kama ndiyo new Ronaldo pale Madrid lakini waliishia wapi?
Hii yote ni kuwa walikuwa kwenye form tu lakini hawakuwa na class.
Sir Alex Ferguson alishasema kitambo kuwa "Form is temporary by class is permanent".
Form ziliwafanya π
- Dele Alli aonekane Modric
- Tammy Abraham aitwe Drogba
- Gavi aitwe Xavi
- Mason Mount asajiliwe Manchester
- Odoi asiuzwe Bayern kwa Β£40M
Leo hii wachezaji waliokuwa katika form wote wamepotea wamebaki wale waliopo kwenye Class tu.
FORM HAITENGENEZI CONSISTENCY, CLASS NDIYO HUTENGENEZA CONSISTENCY.
Pep namba nyingine
Saint Anne hapendi kuona vitu kama hivi kwa Nunez
Ila Klop akiondoka sijui itakuwaje... dah!Babu salama. Chelsea kwa kweli wapo njia panda kwa sasa waedelee na wachezaji wao wa mabilioni huku Klopp akiopoa vijana academy na kufanya kazi murwa sanaa....
Huyu Bradley na Jones kwa sasa wakija Chelsea wanatoa karibu 70m aisee...
Tukutane tena Wembley siku 23 zijazo fainali ya Carabao na kama watacheza kama jana basi kipigo kinawasubiri tena.
In the meantime Arsenal hodi hodi... Wembe ni ule ule kucheza kama unit.
YNWA