Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LADDER49.....png
 
There is no Consistency without form. Form ndio inazaa consistency na consistency inaanza na form kama Bradley.

No,
Form haizai consistency
Class ndiyo huzaa consistency

Unakumbuka form ya SAKA last season pale arsenal? Walifika mpaka kusema ndiye best Winger in the world.
Lakini leo ile Form yake ipo wapi? Kwasababu hakuwa na Class.

Unawakumbuka Ansu Fati, Isco na Asensio?
Ansu Fati alionekana kama ndiye mrithi wa Messi akapewa mpaka Jezi namba 10 lakini yupo wapi?
Isco na Asensio wakaonekana kama ndiyo new Ronaldo pale Madrid lakini waliishia wapi?

Hii yote ni kuwa walikuwa kwenye form tu lakini hawakuwa na class.

Sir Alex Ferguson alishasema kitambo kuwa "Form is temporary but class is permanent".

Form ziliwafanya 👇
  • Dele Alli aonekane Modric
  • Tammy Abraham aitwe Drogba
  • Gavi aitwe Xavi
  • Mason Mount asajiliwe Manchester
  • Odoi asiuzwe Bayern kwa £40M

Leo hii wachezaji waliokuwa katika form wote wamepotea wamebaki wale waliopo kwenye Class tu.

FORM HAITENGENEZI CONSISTENCY, CLASS NDIYO HUTENGENEZA CONSISTENCY.
 
Kuna vilivyo wazi kuvitetea ni ngumu dogo mechi yangapi hii anafanya vyema? Je akipotea mechi Moja utasema hafai?

Klopp anafikla hizi ndomana madogo hawakui pale ni kuuzwa tu

Musialosky huenda akaondoka msimu ujao

Consistency si issue ya mechi ngapi ni issue seasons back to back.

Mchezaji anaweza kucheza vizuri msimu mzima lakini akaflop msimu unaofuata.

Dogo anacheza vizuri lakini anatakiwa adumishe consistency yake.
 
Si uliongaa alivyoichonga Ile Penati ya final carabao sijui FA dhidi ya Chelsii
Kelleher mwamba na nusu,akatikisa nyavu wakati Kepa akipaishia mpira uvuke darajani Stanford 😂😂😂👌
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ule mpira ulitua Kyela 🙂 Kepa golikipa ghali zaidi hivi na huko Real Madrid sijui kama wana mpanga ama namna gani aisee...

Kwa hio unasema fainali ya Carabao kipa awe Kelleher.

Dirisha limefungwo bado tunae Nunez ujue utulie tuuu... Mishe zake kwa sasa anakipiga dakika 90+😎😎

YNWA
 
No,
Form haizai consistency
Class ndiyo huzaa consistency

Unakumbuka form ya SAKA last season pale arsenal? Walifika mpaka kusema ndiye best Winger in the world.
Lakini leo ile Form yake ipo wapi? Kwasababu hakuwa na Class.

Unawakumbuka Ansu Fati, Isco na Asensio?
Ansu Fati alionekana kama ndiye mrithi wa Messi akapewa mpaka Jezi namba 10 lakini yupo wapi?
Isco na Asensio wakaonekana kama ndiyo new Ronaldo pale Madrid lakini waliishia wapi?

Hii yote ni kuwa walikuwa kwenye form tu lakini hawakuwa na class.

Sir Alex Ferguson alishasema kitambo kuwa "Form is temporary by class is permanent".

Form ziliwafanya 👇
  • Dele Alli aonekane Modric
  • Tammy Abraham aitwe Drogba
  • Gavi aitwe Xavi
  • Mason Mount asajiliwe Manchester
  • Odoi asiuzwe Bayern kwa £40M

Leo hii wachezaji waliokuwa katika form wote wamepotea wamebaki wale waliopo kwenye Class tu.

FORM HAITENGENEZI CONSISTENCY, CLASS NDIYO HUTENGENEZA CONSISTENCY.
🤣 🤣 🤣 🤣 Hapa kwa Mason tulikoswaswa aisee aliemshauri afuate shavu Manjesta alituokoa parefu sanaa...
Angalau kati ya hao uliotaja mwenye cheche zake mpaka leo ni Isco tu lakin sio kwa ubora ule wa akiwa kwenye forn.. Wenyewe walikua wanamuita "Isco Fundi"....

Hakika hili lipo wazi kabisa form is temporary na class is temporary tuna mifano hai... Msimu uliopita VVD alikua form ya zigzag hatukujua mechi hii tutegemee nini lakin msimu huu amekua kiwango kimerejea kama tulivyomzoea kilaemu unaona kabisa kwamba kiwango kipo...

Kwa namna ambavyo form ya wachezaji wetu imeimarika kasoro tu Diaz ambaye nimeona sasa anaanza kujisachi na declare rasmi tupo kwenye mbio za ubingwa, ma pundit wengi wametubet na ushindi wa mechi hizi 2 ya juzi vs Chelsea na ijayo vs Arsenal kwamba tukitoka hapo salama basi tutaanza kuamini ubingwa ni unawezekana...

YNWA
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ule mpira ulitua Kyela 🙂 Kepa golikipa ghali zaidi hivi na huko Real Madrid sijui kama wana mpanga ama namna gani aisee...

Kwa hio unasema fainali ya Carabao kipa awe Kelleher.

Dirisha limefungwo bado tunae Nunez ujue utulie tuuu... Mishe zake kwa sasa anakipiga dakika 90+😎😎

YNWA
Ulitua Tukuyu juu ya paa letu la nyasi,ukatoboa paa.

Kepa noma sana
Halafu yupo anashangaa😂😂😂 alidhani anaipeleka Mbinguni

Zote hizo ni bangi za OllaChuga Oc

Kelleher ni hodari
 
Attachments

  • Screenshot_20240202-091248_1.jpg
    Screenshot_20240202-091248_1.jpg
    36.4 KB · Views: 3
Trent ni moja ya wachezaji wachache wenye kupata majeraha ya muda mrefu.
Mechi ya juzi alitimiza michezo 300 at the age of 25.

Great scoucers more to come.
YNWA
Mtamuelewa tu hata kwa lazima.

Trent ndiye mchezaji bora duniani,ukitoa Mo Salah.

Hivi nani anamuangalia Mane bado?
Ni huruma,kaisha mpira..
Arudi tu Anfield kama vipi.
 
Multifunctional 😎😎😎😎

YNWA
Kule juu kuhusu Trent umesema kazi ya RB kuzuia tusifungwe,
Mambo ya assist ,magoli ni bashishi tu.

Hapa kwa Nunez kushindwa kabisa kufunga unasema multipurpose...
Kazi yake iliyompeleka club hawezi,unamfichia kivulini eti multifunctional

Kweli nyani haoni kundule.
 
Nduu yetu Nunez yeye yupo group gani kati ya haya?

No,
Form haizai consistency
Class ndiyo huzaa consistency

Unakumbuka form ya SAKA last season pale arsenal? Walifika mpaka kusema ndiye best Winger in the world.
Lakini leo ile Form yake ipo wapi? Kwasababu hakuwa na Class.

Unawakumbuka Ansu Fati, Isco na Asensio?
Ansu Fati alionekana kama ndiye mrithi wa Messi akapewa mpaka Jezi namba 10 lakini yupo wapi?
Isco na Asensio wakaonekana kama ndiyo new Ronaldo pale Madrid lakini waliishia wapi?

Hii yote ni kuwa walikuwa kwenye form tu lakini hawakuwa na class.

Sir Alex Ferguson alishasema kitambo kuwa "Form is temporary by class is permanent".

Form ziliwafanya 👇
  • Dele Alli aonekane Modric
  • Tammy Abraham aitwe Drogba
  • Gavi aitwe Xavi
  • Mason Mount asajiliwe Manchester
  • Odoi asiuzwe Bayern kwa £40M

Leo hii wachezaji waliokuwa katika form wote wamepotea wamebaki wale waliopo kwenye Class tu.

FORM HAITENGENEZI CONSISTENCY, CLASS NDIYO HUTENGENEZA CONSISTENCY.
 
Babu salama. Chelsea kwa kweli wapo njia panda kwa sasa waedelee na wachezaji wao wa mabilioni huku Klopp akiopoa vijana academy na kufanya kazi murwa sanaa....
Huyu Bradley na Jones kwa sasa wakija Chelsea wanatoa karibu 70m aisee...

Tukutane tena Wembley siku 23 zijazo fainali ya Carabao na kama watacheza kama jana basi kipigo kinawasubiri tena.

In the meantime Arsenal hodi hodi... Wembe ni ule ule kucheza kama unit.

YNWA
Ila Klop akiondoka sijui itakuwaje... dah!

Jamaa linajua asee....
 
Back
Top Bottom