Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitu kingine kiliharibu mipango ya jana ni kukosekana kwa Bradley, Nunez na Szobo.

Yes hao jamaa, kwa nini? Klopp karibu wiki siku tatu alikua akiandaa timu akiaminia kwa Bradley na Szobo na alipanga kwenda na same line up ila sasa all of a sudden a day before a match, Bradley anapata msiba wa kufiwa na baba yake mzazi, baadae Nunez anaumia kidole, lately Szobo anaumia. Last three matches hawa jamaa walimpa option nzuri.

Ona replacement zao Trent kwa Bradley hakumaliza mechi tuliona Martinelli cooked him, Gravenberch kwa Szoboszlai, (hapa unahitaji akili ndogo ya kunywa maji kuona mechi ilivyo mpwaya) Gakpo for Nunez (same kilichomtokea Graven na kwake kilimkuta), ndio maana wote hawakumaliza mechi na wote walitolewa kwa mda mmoja.

Note:
Sio guarantee kuwepo kwao ndio tungeshinda, lah.! lakini tulikosa ile good flow of football ya last 3-4 matches.
Graven & Gakpo had 11 touches in first half. Hapo unaona jinsi gani Macca & Jones walivyopitia wakati mgumu partner wao Graven alivyokuwa mbovu, (anajificha nyuma ya Arsenal players)
Diaz and Jota same thing kwa partner wao Gakpo.

Sasa angalia madhara RHS alipocheza Graven ndio upande wa Trent ambao kawaida lazima atakayecheza RCM afanye shughuli na awe na energy ya kutosha., kwa hiyo ikabidi Konate afanye kazi mara mbili upande wa Trent na wa kwake. Kwa hali hii lazima ushindwe kuutembeza mpira. Na mbaya zaidi Trent sio yule kabla ya kuumia, jumla individual errors ni ngumu kuona unaponaje.
 
Ha haaa Klopp alijua kampanga bladley nini?
Kwa hiyo huyu mzee hajui mapungufu ya wachezaji wake kweli Tim inamzidi uzito Sasa acha apumzike tu
 
Kwa hiyo yameludi ya hendasen piga ua lazzima acheze dah

Kipara anachekelea tu huko
 
Kipara hapangi wachezaji kwa upendo wake bali wale wanao mletea matokeo hili linapelekea Man City apewe ubingwa alikua Hendasen ful kulindwa wenzaka wanapambana yeye ananyoosha vidole tu uwanjani asaivi kaibuka Trent mabaya zaidi huyu keshasema anataka kucheza kati ila kocha bado kamganda tutashinda na City?

Huyu dogo inajulikana hamuwezi matnel na hata Rashfod anakuaga njia pia katoka majeruhi na kapangwa


Uziri kocha kashasema hana chakuongeza ila apumzike
 
Jana tumefungwa Kwa sababu ya ujinga wa Allison
 
Jana tumefungwa Kwa sababu ya ujinga wa Allison
 
Yeye lake goli
Uwanjani huku anatafuta nini?
Magoli ya jana ni magoli ya kipumbavu kupata kuwahi kutokea.
 
Mi mwenzenu sijui kwa vile sijui mpira, yaani simuelewi hata huyo dogo.
He has room ila wasi wasi wangu ni kuondoka kwa Klopp je, ajaye atamvumulia? Silaha kubwa kwa Klopp ni uvumilivu aisee

Labde aje ajae kwenye mfumo kwa haraka anaweza kubaki.
 
haitadumu mkuu, maana mechi ijayo wanakutana na the hammers ugenini, halafu kumbe mechi ya kwanza walifungwa pale emirates 2 bila.
Unafanya analysis kishamba sana....ukianza kuzungumzia Nyumbani na ugenini Kila mtu kwny ligi ana mechi ziko tricky sana....unataka kusema hapa Liverpool hatafungwa tena hadi ligi inaisha na wenzake watakuwa wanadundwa tu....West Ham kushinda mechi ya kwanza haimaanishi na ya pili watashinda....Man City anaweza akadondosha points naye....halafu tangu Klopp aje mmebeba EPL mara ngapi kwni....yaani unataka kufanya kama vile ni mabingwa wa mara kwa mara wakati na nyny ni wafukuza upepo tu kama Arsenal....
 
Upuuzi wa Tim kubebwa na mtu Moja siupendi.
Uziri hao weshatufunga akiwemo bahati nzuri anacheza mechi karibia zote lakini ubingwa ni kwa siti hem atupe ubingwa basi
 
He has room ila wasi wasi wangu ni kuondoka kwa Klopp je, ajaye atamvumulia? Silaha kubwa kwa Klopp ni uvumilivu aisee

Labde aje ajae kwenye mfumo kwa haraka anaweza kubaki.
Huyu anajua ila ujinga wake wakubeba wabovu kwenye Tim ya ushindi imemnyima mafanikio mengi sanaaa

Kila mchezaji anatakiwa atimize majukumu yake kupanga mbovu kwenye wazuri unaharibu na hawa wazuri.
 
Ukitoa EPL ambayo huu ni mwaka wa 20 hamna, Mna kikombe gani tena kingine mmefanikiwa kupata ndani ya miaka 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…