Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwambaa TAA ndo alikua tatizo nahisi Klopp ameanza kuwatii washauli wake apate kuondoka vizuri ha ha haaa

Yes & No japo ni injury ilimtoa, ila ilitupa faida kubwa sana. Funny thing nili enjoy kumuona Jones as RB ilikuwa kama Comedy flani hivi, mbele yake akawa Elliot what a weak side defensively.?!

Jota akaingia ndani kuongeza idadi kwenye box maana Burnely walikuwa wakorofi sana na wabishi sana, kwa hiyo ikabaki ni Jones na Elliot RHS, muda fulani Quansah anasogea as RB Jones anakuwa RCM na Elliot as RW… [emoji81][emoji81] sema tu ni Burnley ila kama ndio Brighton au Villa achilia top six overall, tungeadhibiwa, maana hata Burnley walitukosa two clean chances baada ya Klopp kujaribu hii mishe.

Klopp at the end was happy with output with Quansah and Jones, be like hey boys you managed it well kudos.

YNWA
 
Liverpool please use all the money to sign xabi

Tusihangaike hata na players

Fsg watoe hela zote walizo nazo kama hawana waseme wanachama hair tuwachangie

We need xabi

We need xabi

We need Xabi now than ever

Nafikiri CV ya Alonso ni nzuri as a player and as Coach if he will manage Leverkusen and get Bundesliga triumph.

Alonso ana mpira mzuri wa ushindani licha ya bajeti yake ndogo ila ameweza kukusanya vijana na kufanya nao kazi nzuri. Same alivyofanya Klopp akiwa Dortmund.

Klopp ameweka foundation nzuri with good Coach kama Alonso tunasumbua ulaya kwa mafanikio.

Nafananisha hii na era ya Shankly na Paisley

Shankly hakubeba makombe mengi ila msingi aliouweka ulimuwezesha Paisley (20) kubeba makombe mengi kuliko Shankly (10).

YNWA
 
Basi namchukua Zidane atue pale na Mbappe

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…