Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

7hag
FB_IMG_1707595986382.jpg
 
Kwambaa TAA ndo alikua tatizo nahisi Klopp ameanza kuwatii washauli wake apate kuondoka vizuri ha ha haaa

Yes & No japo ni injury ilimtoa, ila ilitupa faida kubwa sana. Funny thing nili enjoy kumuona Jones as RB ilikuwa kama Comedy flani hivi, mbele yake akawa Elliot what a weak side defensively.?!

Jota akaingia ndani kuongeza idadi kwenye box maana Burnely walikuwa wakorofi sana na wabishi sana, kwa hiyo ikabaki ni Jones na Elliot RHS, muda fulani Quansah anasogea as RB Jones anakuwa RCM na Elliot as RW… [emoji81][emoji81] sema tu ni Burnley ila kama ndio Brighton au Villa achilia top six overall, tungeadhibiwa, maana hata Burnley walitukosa two clean chances baada ya Klopp kujaribu hii mishe.

Klopp at the end was happy with output with Quansah and Jones, be like hey boys you managed it well kudos.

YNWA
 
Liverpool please use all the money to sign xabi

Tusihangaike hata na players

Fsg watoe hela zote walizo nazo kama hawana waseme wanachama hair tuwachangie

We need xabi

We need xabi

We need Xabi now than ever

Nafikiri CV ya Alonso ni nzuri as a player and as Coach if he will manage Leverkusen and get Bundesliga triumph.

Alonso ana mpira mzuri wa ushindani licha ya bajeti yake ndogo ila ameweza kukusanya vijana na kufanya nao kazi nzuri. Same alivyofanya Klopp akiwa Dortmund.

Klopp ameweka foundation nzuri with good Coach kama Alonso tunasumbua ulaya kwa mafanikio.

Nafananisha hii na era ya Shankly na Paisley

Shankly hakubeba makombe mengi ila msingi aliouweka ulimuwezesha Paisley (20) kubeba makombe mengi kuliko Shankly (10).

YNWA
 
Simeone si mzee sana pia najua, ila agine ligi ina makocha vijana vijana kadhaa watakaoshindana kwa miaka kadhaa mbele. Imagine kama Wenger na Fergie kwa miaka karibia ishirini, iwe ndiyo Arteta/Alonso/De Zerbi/Xavi/Enrique/Zidane... wote ndani ya EPL. Yaani moto juu ya moto.
Basi namchukua Zidane atue pale na Mbappe

YNWA
 
Back
Top Bottom