GOOD[emoji599] ππππππππ: Mo Salah returns to full team training and heβs finally available again! [emoji837][emoji1093]
Excellent news for Liverpool ahead of the next games as Salah, Alisson, Joe Gomez, Conor Bradley are back.
β¦how many goals will Mo score in 2024? [emoji102][emoji92]
Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....Sioni dalili za kuchukua hata point moja Etihad.
Basi kama ni Anfield kipara hana bahati safari hii.Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....
Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.
Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa
Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah
Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished
YNWA
Huyu ni credible source. FSG waache ubahiri mapema kam wamemkumbali bwana mdogo wapeleke ofa.Grau said:Xabi Alonso could reject Liverpool to manage Premier League rivals [Guillem Balague
Kipara kwa sasa anachowaza ni bio gemu na wale wachezaji atawameza mazima aisee maana jamaa hua hana huruma kabisa kwa wachezaji wake anachotaka ni ushindi...Basi kama ni Anfield kipara hana bahati safari hii.
Huyu hatukumwita pacha wa Elhadji Diouf kweli huyu? Ubishoo mwingi na injuries zilitunyuma kumuenjoy huyu jamaa vilivyo Premier league
Ukiandika hivi π itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).Man city vs liverpool
Man city vs Arsenal
Hizo mechi ndio zitaamua bingwa nani.
Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara mojaβ¦βπ½πUkiandika hivi π itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).
Liverpool v/s Man City
Arsenal v/s Man City
Hawa Anfield uhakika hawatufundi ingawa sina uhakika kuwa tutawafunga lakini nina uhakika Emirates watafungwa.
Hivyo iwapo sisi tutashindwa kumfunga basi nasimama na Arsenal wamfunge huyu mbuzi ili bora hilo Kombe wabebe Arsenal kuliko kubeba tena Pep itakuwa ni dharau kubwa sana.
Yah!!Ukiandika hivi π itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).
Liverpool v/s Man City
Arsenal v/s Man City
Hawa Anfield uhakika hawatufundi ingawa sina uhakika kuwa tutawafunga lakini nina uhakika Emirates watafungwa.
Hivyo iwapo sisi tutashindwa kumfunga basi nasimama na Arsenal wamfunge huyu mbuzi ili bora hilo Kombe wabebe Arsenal kuliko kubeba tena Pep itakuwa ni dharau kubwa sana.
Yes nimekumbuka alivunjwa mguu. Sad sana.Hiyo kilichomrudisha nyuma sio injury za kawaida bali ni pale Wahuni walipomvunja Mguu mpaka akakosa World Cup ya mwaka 2006 ingawa alikuwa akihitajika sana kwenye kikosi cha Ufaransa.
huu mchezo lazima Endo ahusikeKama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....
Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.
Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa
Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah
Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished
YNWA
kipara abebe kuliko Arsenal aiseeUkiandika hivi π itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).
Liverpool v/s Man City
Arsenal v/s Man City
Hawa Anfield uhakika hawatufundi ingawa sina uhakika kuwa tutawafunga lakini nina uhakika Emirates watafungwa.
Hivyo iwapo sisi tutashindwa kumfunga basi nasimama na Arsenal wamfunge huyu mbuzi ili bora hilo Kombe wabebe Arsenal kuliko kubeba tena Pep itakuwa ni dharau kubwa sana.
Hofu yangu kwa Endo ni slow starter aisee hua haanzi kwa kasi mbali kwa kupoa kimtindo design kama gari ya dezili.huu mchezo lazima Endo ahusike
Allison akiendelea na upuuzi dogo anapindua meza mtabaki mnashangaaSio kwa mahaba hayo duuh. Atabakia kua namba 2 mpaka pale Alison atakavyoodoka bilo usisahau.. [emoji85][emoji85]
YNWA
Haller bado hajanishawishiAfcon imeisha
Tumerudi sasa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wanangu wa liver sikuwaona Afcon kabisa.
Hivi mmemuona Ronwen Williams?
Mmemuona Sebastian Haller?