Juzi juzi tu hapa tumewakabidhi kichapo. Au mmesahau?YNWA
Mabingwa wa dunia kesho ushindi kama kawaida yetu[emoji91]
Ngoma ikilia sana hupasukaJuzi juzi tu hapa tumewakabidhi kichapo. Au mmesahau?
Mechi ya kwanza kupoteza tangu Klopp atangaze kuacha kazi pale banda la kuku mwisho wa msimu. Sasa timu imetikiswa. Vipigo kwenu sasa ndivyo vitakuwa marafiki wenu.
Haller bado hajanishawishi
Ronwen alinikumbusha Juma Kaseja
Siyo shida zetu hatujui methali sisi wazee wa kazi kazi. Itakuwa vizuri sana mkipokea vichapo vingi kabla Alonso hajafika. Timu iwe hovyo na ajikute na wakati mgumu kuweka mambo sawa, huku sisi tukipeta na kunyanyua kwapa kwa misimu kadhaa.Ngoma ikilia sana hupasuka
Dua za kukuSiyo shida zetu hatujui methali sisi wazee wa kazi kazi. Itakuwa vizuri sana mkipokea vichapo vingi kabla Alonso hajafika. Timu iwe hovyo na ajikute na wakati mgumu kuweka mambo sawa, huku sisi tukipeta na kunyanyua kwapa kwa misimu kadhaa.
Haller alikuwa wa moto kipindi yupo AjaxDogo yupo vizuri..
Huyu Williams ni🔥
Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara moja…✍🏽📌
Yah!!
Fixture ya Man city ngumu though kipara anakikosi cha kuzimudu hizo game zote.
Mpinzani wetu mkubwa bado kipara.
Acha hizo braza 😄😄Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara moja…✍🏽📌
Man city vs liverpool
Man city vs Arsenal
Hizo mechi ndio zitaamua bingwa nani.
Na leo anadaka kipa wako nambari 1 dogo Kelleher... Allison bado anaumwo.Allison akiendelea na upuuzi dogo anapindua meza mtabaki mnashangaa
Haha sounds really cool. Ataweza sasq kuwasiliana vyema na wachezaji wenzake uwanjani na mazoezini ili kazi iedelee vyema kufumania nyavu.