Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Juzi juzi tu hapa tumewakabidhi kichapo. Au mmesahau?
Mechi ya kwanza kupoteza tangu Klopp atangaze kuacha kazi pale banda la kuku mwisho wa msimu. Sasa timu imetikiswa. Vipigo kwenu sasa ndivyo vitakuwa marafiki wenu.
Ngoma ikilia sana hupasuka
 
Ngoma ikilia sana hupasuka
Siyo shida zetu hatujui methali sisi wazee wa kazi kazi. Itakuwa vizuri sana mkipokea vichapo vingi kabla Alonso hajafika. Timu iwe hovyo na ajikute na wakati mgumu kuweka mambo sawa, huku sisi tukipeta na kunyanyua kwapa kwa misimu kadhaa.
 
Dua za kuku
 
Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara moja…✍🏽📌

Haya ni mawazo yako.

Ukitoa kuipenda Liverpool kitu chengine ninachokipenda ni EPL.

So, kama Liverpool itakosa mafanikio basi at least EPL ifanikiwe.

Siwezi kuona Pep anaigeuza EPL farmers League kama league 1.

So bora sana kwangu achukue Arsenal kuliko City ili kulinda heshima ya EPL.

Mambo ya kuwa sijui Arsenal wana maneno, waongeaji, watatucheka n.k. hayo yote sio mambo ya kimpira wala hayana nafasi kwangu.

Only I care ni Liverpool and EPL, nothing else.
 
Ladder..png
 
[emoji836]️ Postecoglou on links with Liverpool shortlist as new manager: "I don’t want to say anything about that because I don’t think that’s ever going to enter my brain space for what is my priorities in life and profession".

"If it’s just people throwing up names, who cares?".
 
Back
Top Bottom