DAAH. Poleni. Tunawahitaji muwe na full kikosi kutusaidia kukimbizana na kipara. Get well soon Diogo.JOTA nje miezi 2.
wauguzi wa hii club yetu wachunguzwe pumbavu zao, kunasehemu hawapo sawa.
Everton mmewaonea sana lately. Nadhani hao ndiyo tishio dogo kwenu kuliko wengine. Labda wapate nguvu kwa psychology ya derby, lakini sioni wakiwasumbua.Kiukweli hapa tushindwe wenyewe tu.
Challenge hapa nimeziona ni 3 tu:
1) Everton Away
2) Man United Away
3) Aston villa Away
- Man City home sina wasiwasi kwasabau tusipowafunga tutagawana points lakini hawatufungi.
- Spurs home sina wasiwasi uwezekano wa kuwafunga ni mkubwa.
- Waliobakia wa Away na Home ni wepesi tu.
KIPARA:
- Kabaki na Arsenal - Home
- Man United - Away
- Liverpool Away
- Spurs Away
ARSENAL:
View attachment 2909272
- Kabaki na Chelsea - Home
- Man City Away
- Man United Away
- Spurs - Away
Hivi huyu babu wa Atlanta Gasperine aka mr white mbona kama anatufaa... Anacheza soka moja maridadi sanaa.
Jota mwili wake ni made of Taiwan biscuits usishangae sana ndugu..JOTA nje miezi 2.
wauguzi wa hii club yetu wachunguzwe pumbavu zao, kunasehemu hawapo sawa.
Mzee wa Live score haha upoo.Nyie matakataka nawagonga wembley niwapasue
BREAKING: Bayern Leverkusen boss Xabi Alonso is preferred target to succeed Thomas Tuchel if Bayern Munich make a change this summer, according to Sky Germany [emoji629]
Arsenal akitoboa hapa bas ubingwa wakeView attachment 2907381
Duu dogo Alonso amekua hot cake balaa kila media za majuu za michezo kukicha ni habari zake huyu bwana.BREAKING: Bayern Leverkusen boss Xabi Alonso is preferred target to succeed Thomas Tuchel if Bayern Munich make a change this summer, according to Sky Germany [emoji629]
Halafu nyie mnashinda zte au sioπ€ π€ π€ ...maneno ya mashabiki ukiyafatilia unaona ubingwa huu hapaMan utd
Spurs
Wolves
Man City
Chelsea
Zote hizi Arsenal hawezi kushinda
Naona mko busy sana kutuwazia sisi, na mmeanza kuwa obsessed with us! ππMan utd
Spurs
Wolves
Man City
Chelsea
Zote hizi Arsenal hawezi kushinda
Pole sanaNaona mko busy sana kutuwazia sisi, na mmeanza kuwa obsessed with us! ππ
Zote zilizobaki ni draw na winHalafu nyie mnashinda zte au sioπ€ π€ π€ ...maneno ya mashabiki ukiyafatilia unaona ubingwa huu hapa
Kikiwakuta kile kifaduro kilichopata sisi mwezi wa 12 zile mechi za West Ham na Fulham na ile mechi Yao walotufunga pale Emirates...hakyanani Hawa tutawaokota nafasi ya nne huko....dawa waendelee kushinda mechi zao hvihvi....wakiteleza moja tu...watabadilisha upepo wa maneno hmu....sisi tunaombea Van Dijk ateguke kidogo tu halafu hyo mengine tutajuana huko mbele ya safariNaona mko busy sana kutuwazia sisi, na mmeanza kuwa obsessed with us! ππ