Sijasema ni mbaya but he is a waste of spaceThiago ni good player. He's unlucky though majeruhi yamemuelemea. Atundike daluga tu kama Marco van Basten.
The last sentence though. 🤣Sijasema ni mbaya but he is a waste of space
Anajaza choo tu
It’s like having a partner but you only wank bthe cause she is unreachable
sikupingi dogo bradley yuko njema sana.Klopp effects and the fact the boys n men know its his last season wamw step up sana... Case study Bradley na Quansah utadhan wamenunuliwa mapene ya £20m kila mmoja..
Jones na Elliot msimu huu bila wale ma faza wetu wameonyesha kiwango na kuelewa Mwalimu anahitaji wafanye nini na wakati gani...
We are in Carabao, FA, Europe na EPL n the boys are ready... Lets give its a try bro... Its all about trying.
YNWA
Toa Newcastle hapo🤠🤠...tumekosa jana kumtwanga na kitu kizito...bado Tottenham na zile mbio zao....City siwezi kusema chchte...wale ni manunda🤠🤠Modern soccer is a game of mistakes man...thier day is coming.. Tricky vs Newcastle, Manchester City, Tottenham...
YNWA
Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.Thiaago ni good player. He's unlucky though majeruhi yamemuelemea. Atundike daluga tu kama Marco van Basten.
Salute mpo 🔥 sanaaaa.Toa Newcastle hapo🤠🤠...tumekosa jana kumtwanga na kitu kizito...bado Tottenham na zile mbio zao....City siwezi kusema chchte...wale ni manunda🤠🤠
Bradley anafukuzia Knighthood haha.sikupingi dogo bradley yuko njema sana.
Ina maana kocha hatakuwemo kwenye Transfer Committee?Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.
YNWA
Mkuu huyu jamaa yetu MosDef watakuwa wapo busy sana kwenye ma research baada ya Klop kutangaza kuondoka, pengine akipata muda atakuja atumegee mawili matatu ya za ndani.Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.
YNWA
Klopp alipenda vile jamaa huwa anatumbua macho Kama the rock akiwa wweNikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.
YNWA
He was broken dude.. Honestly I was surprised hata Yeye Thiago kukumbali kuja EPL ambayo inasifika kua more physical than mojos... Uzuri dogo anakula mshahara wake na kutali kama kawaida...Klopp alipenda vile jamaa huwa anatumbua macho Kama the rock akiwa wwe
Au fundi saa
The glassy Thiago is full of drama na mbwembwe akiwa fit
Jana nilivyomuona tu karius vs asses… nikaachana na kuangalia mpiraHe was broken dude.. Honestly I was surprised hata Yeye Thiago kukumbali kuja EPL ambayo inasifika kua more physical than mojos... Uzuri dogo anakula mshahara wake na kutali kama kawaida...
DF ajaye aachwe afanye kazi yake kama ni kutofautiana na Meneja iwe kwa data sio kwa mapenzi ya mwalimu.. Klopp kwa huyu dogo ametu cost huku akijua ma bosi wake ni mabahiri kuliko...
Usaji mbovu wa Klopp
Thiago
Karius
.......
YNWA
Kaka kwani hii ni sawa na siasa za vyama au ndoto za wana jf?Wakuu kwema
Ikiwa wachezaji wetu wengi hawatokuwepo Leo mnapendekeza kikosi kipi?
You can’t be serous