Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp effects and the fact the boys n men know its his last season wamw step up sana... Case study Bradley na Quansah utadhan wamenunuliwa mapene ya £20m kila mmoja..
Jones na Elliot msimu huu bila wale ma faza wetu wameonyesha kiwango na kuelewa Mwalimu anahitaji wafanye nini na wakati gani...

We are in Carabao, FA, Europe na EPL n the boys are ready... Lets give its a try bro... Its all about trying.

YNWA
sikupingi dogo bradley yuko njema sana.
 
Thiaago ni good player. He's unlucky though majeruhi yamemuelemea. Atundike daluga tu kama Marco van Basten.
Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.

Ina maana kocha hatakuwemo kwenye Transfer Committee?
 
Salah na nunez wote ni doubt injuries.
Kuna habar gani huko wakuu.
Screenshot_20240225_115933_Sofascore.jpg
 
Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.

YNWA
Mkuu huyu jamaa yetu MosDef watakuwa wapo busy sana kwenye ma research baada ya Klop kutangaza kuondoka, pengine akipata muda atakuja atumegee mawili matatu ya za ndani.
 
Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.

YNWA
Klopp alipenda vile jamaa huwa anatumbua macho Kama the rock akiwa wwe

Au fundi saa

The glassy Thiago is full of drama na mbwembwe akiwa fit
 
He was broken dude.. Honestly I was surprised hata Yeye Thiago kukumbali kuja EPL ambayo inasifika kua more physical than mojos... Uzuri dogo anakula mshahara wake na kutali kama kawaida...
DF ajaye aachwe afanye kazi yake kama ni kutofautiana na Meneja iwe kwa data sio kwa mapenzi ya mwalimu.. Klopp kwa huyu dogo ametu cost huku akijua ma bosi wake ni mabahiri kuliko...
Usaji mbovu wa Klopp
Thiago
Karius
.......

Jana nilivyomuona tu karius vs asses… nikaachana na kuangalia mpira

Atakua ma majini makali sana yule
Jamaa
 
Back
Top Bottom