Nikirii kabisa kwa Thiago tulipigwa. Huyu dogo injury trend inafahamika vyema tangu yupo Barcelona na Bayern aafu Klopp akalazimishe tutue mazima kwake hapa ukweli Klopp alifeli kabisaaaa kwa Thiago. Nimesoma mahala FSG wameamua Kocha ajaye atapunguziwa kazi za nje ya uwanja ikiwemo hizi za wachezaji maana kwa sasa Klopp alikua na say ya mwisho kuhusu ununuzi, kuongeza mkataba, kuuza wachezaji nk lakin kocha ajaye hayo mamlaka yanaodolewa kwake hii itakua sawa ili kusiwe na kuingiliana majukumu ya wengine na mpaka hapo utaona kwa nini Edwards amewagomea FSG kwa sasa kutorejea Liverpool.
YNWA