Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
π€£π€£π€£π wananyoooshwaaa
Hawa niachieSaint Anne watu kama hawa wewe ndiyo unawaweza hebu njoo uwajibu.
Hendo kazi kubwa aliyoifanya ni kunyanyua tu kikombe huku hajafanya chochoteImagine Captain VVD msimu wake wa kwanza kuwa Captain ndiyo anabeba Ndoo halafu kadeliver yeye mwenyewe kwa kufunga goli lililompa Kombe.
Captain Gerrard alifunga goli Fainali dhidi ya AC Milan tukabeba UCL.
Macaptain wetu wote wamedeliver Lakini Captain Henderson yeye alikuwa anasubiri wanaume wenzake wafunge magoli yeye aende akabebe Kombe.
Yaani hajawahi kudeliver kama Captain ππ